Saikolojia ya wanawake

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Mpendwa msoma madaa husika na mada tajwa hapo juu, sina mangi ya kueleza moja kwa moja ntaenda kwenye mada.

Ni muda mrefu sna nimekuwa nikijifunza juu ya hao viumbe, mama zetu, dada zetu lakin leo hii nimepata jawabu la kutosha.

Saikolojia ya mwanamke ni Tofauti sna na sailolojia yetu sisi wanaume MODE naomba usilichukulie ili kwa ubaya la hasha lengo ni kuupa ufaham mpaana wadau wote na member watakao pitia uzi huu.

Wanaume SISI ni viumbe dhaifu mnoo lakini wanawake ni viumbe dhaifu KUPITILIZA hii ni kutokana na ukweli kwamba kiasili ya maumbile tuliopatiwa na muumba.

Ukitaka kuamini kumbuka ktk tendo Lile la kiasili, sisi Me= Tunawahi kuridhika na kufikia mshindo kuliko wenzetu=KE , Hatuwez dumu zaidi ya Dk .10

Hivyo basi ili tuweze kuishi na saikolojia ya hawa wenzetu huwa inaitegemea kumuandaa kimawazo na kihisia (SAIKLOJIA) .

Wanaune mara nyingi au kwa kiasi kikubwa tunachotafuta ni STAREHE (RAHA) tu , mbali na kushawishiwa kimaumbile na nyama zilizopambwa na kumpendezesha umbo la mwanamke , Ila wao ni tofuti na sisi maana ili aridhike yeye nilazima basi kuwafanyia mambo kadhaa wa kadhaa kama vile:
i/kuweza kurekebisha akili na mawazo yao maana wengi wao wanapitia matatizo na shida kubwa za kiuchumi, kijamii, kidini na kihisia hivyo basi yatupasa kutokuwa na mkono wa birika pindi wanapotupatia matatizo yao ili tuweze kuyatatua makubwa yanayowapata/wasibu.

ii/Kuwapwekesha japo hii ni sifa ya muumba hapa nina maana kwamba wanahitaji kuhisi wao ni wakipekee na wa aina yao (kuwapa muda na attention) , muda mwingi wekeza kwao yan kumchatisha, kumbembeleza, mpigie simu, kumsifia na kumpa thamanI.

iii/Akili kubwa hapa kinachotakiwa inatakiwa sisi ME Tuwekeze zaidi kwenye AKILI NA MAARIFA , Hivyo vitu tukiwanavyo automaticaly tunaanza kujiamini na kuwateka epuka sana mwanamke alie kuzid elimu/maarifa utapata shida hivyo jipinde kivyovyote vile ili uwe na uwezo mkumbwa kuliko uliekonao mwenzi wako.

iv/HELA. Hapa naomba nisiweke maelezo mengi zaidi ya kusema HELA;HELA;HELA ni asili ya kila kiumbe kupenda pesa, amini usiamini kila kiumbe kina dau lake na kinanunulika maana PESA ndo nyenzo rahisi na pekee duniani inayoweza kukutatulia asili 99% ya matatizo yako

V/Piga MASHINEE, PIGA SPANAAA hahaha hapa sasa ni kamchezo ka sekunde chache ila kana maana kubwa sana kwenye maisha ya Mwanamke , hivyo WANAUME wenzngu naomba nitoe RAI tujikite zaid kwenYE VYAKULA VYA ASILI, MAJI MENGI, NA MAZOEZI. Hawa wenzetu huwa ili furaha yao ikamilike wanahitaji COMBINATION ya vitu tajwa hapo juu , Tofauti na sisi wa KOHOZI JEUPE ukishalitema tu baasi umeridhika.

Jamaanii piga show kweli kwelii, hasa wale wa kudumu ni vzur kumtengea ratiba hata mara 1 kwa mwezi apate dozi kweli kwelii na shoo ya kufa mtuu mkojozeeee.

Mada itaendelea tuwe pamoja mpaka kipind kijacho. Alamsiki.
 
Back
Top Bottom