Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mimi nadhani jamaa kashika bunduki kwa sababu Kinyozi ni mpya sio yule aliyemzoea sasa ole wake amnyoe vibaya
Hahaha dah Tanzania yangu silaha ya hivyo nimeishia kuiona kwa polisi tu ,Sijui tumelogwa wapi pamoja na amani hii na resources tunajikongoja kwenye maendeleoHapo ni Kongo, upo wakati inasemekana askari walikuwa wanakwenda likizo na bunduki zao, nadhani ulikuwa wakati ule wa vurugu (baada ya kuondolewa Mobutu) siyo sasa....
Una mpiga shot ya umeme[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hyo burudi sio hapa bongo kwetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]