teh teh teh!!!

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Mfugaji wa kasuku kamrudisha kasuku kwa muuzaji ampe mwingine kwani huyu anatukana...
Muuzaji kampa mwingine kamwambia huyu mstaarabu, tena akinyanyua mguu wa kulia anaongea kingereza, akinyanyua wa kushoto anaongea kihindi. Jamaa akauliza akinyanyua yote je?
Kasuku akadakia "malaya mkubwa we, si nitaanguka".
 
Back
Top Bottom