Teh teh teh........Asnam kakua..............!

asanteni sana nawakaribisha kwenye party yangu saa moja jioni pale city center kiingilio ni zawadi yako mkononi kama mjuavyo mkono mtupu haulambwi,karibu sana.:baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby:
 
Kuna Mnuso? kama ndio, ni wapi ili nicheki na gfsonwin nije naye..

my swtlo twende zetu nyumbani lounge ama savanna lounge bana leo huwaga pananoga zaid. nahtaj sana kukaa na weye pale lemon tree just to have joy honey. Huko kwa Asnam najua yeye na babu yake Mtambuzi hawana dili bana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom