Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
Ni mtanashati lakini hajijui, ni mpole lakini wengi wa wasichana hawalijui hilo, Amependwa lakini hajui ampendae, amependa kwa asiempenda.....Ni nani huyo?
Ni mtanashati lakini hajijui, ni mpole lakini wengi wa wasichana hawalijui hilo, Amependwa lakini hajui ampendae, amependa kwa asiempenda.....Ni nani huyo?
izeeee.. ni Magulumangu.
Hahaaaa....mpaka maka.
Lazima atakua mwanaume
Sio wewe coz umeshasema ni mtanashati ila hajijui!!Ni mkaka unaempenda kama wewe ni mdada..kama sio SAMAHANI!
Tusker!!!!
Atiii???
kha.... hata newton alikuwa kilaza mkuuUelewa wako F, kapige msuli ndugu....
Hahahaha...ndo maana nimeomba samahani mapema bwana!ngoja nikupe mji mzuri unisamehe...DarfurLizzy wewe waja sasa, unapigia mstari mimi Bwabwa au?
kha.... hata newton alikuwa kilaza mkuu
swali lako fyongo sana na ungeuliza why ningekuambia ni kwanini nimesema mwanaume
Hahahaha...ndo maana nimeomba samahani mapema bwana!ngoja nikupe mji mzuri unisamehe...Darfur
mzee wewe unatafuta kesi na Safari lager...mi simo