Mkombozi haijaeleza kuhusu wanabodi wake waliopokea kitita, umesahau na wametajwa?
We ni kama una madudu kichwani, hivi wewe ukitoa pesa zako ukawapa marafiki zako benki inaweza kueleza kwa nini umewapa marafiki zako? Umesikia Mkombozi ni wasaidizi wa VIP? Halafu jifunze kuhoji vitu ukiwa na evidence, ni member yupi wa bodi ya Mkombozi ambaye kapewa pesa? Jaribu kuficha ujinga na tujadili vitu vya msingi hapa.
Hukusikia tamko lao? wamekuwa mawakili wa VIP wanasema ni pesa halali wakati bunge wanasema ni pesa chafu.
Hapo sasa!
kosa ambalo naona Stanbic wamefanya pengine ni kurusu hele hizo kuchukuliwa kama Cash zaidi ya kiwango cha cash kinachotakiwa, vinginevyo wangefanya TISS wangekuwa clean kama wenzao Mkombozi.
1. Stanbic kwa kutotaja majina wala kuweka ushahidi wa hicho wanachojaribu kukanusha, basi wamethibitisha kuwa familia ya Rais wa nchi pamoja na wakuu wengine (Pinda) ndio waliochota hela kupitia Stanbic.
4.Wabunge makini (mf. John Mnyika) waliotaka Bank Statement ya Stanbic iwekwe bayana ni budi wakaze uzi kuhakikisha tunawajua, tunawakamata na kuwafilisi wahusika wote wa Escrow kupitia "kichaka cha Stanbic"
Wewe utakuwa na akili nyingi sana kama mimi, nilikuwa najiuliza hivyo hivyo. Kwanini tusianzie BOT kwanza, kwa sababu kama BOT walizitoa hizo kwenda benki nyingine maana yake zilikuwa safi, kosa ambalo naona Stanbic wamefanya pengine ni kurusu hele hizo kuchukuliwa kama Cash zaidi ya kiwango cha cash kinachotakiwa, vinginevyo wangefanya TISS wangekuwa clean kama wenzao Mkombozi.