Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

Kwangu mimi ni sawa na TANGAZO LA MGANGA TOKA NIGERIA.
Silipi nafasi katika my precious hard disk space. I am sorry
 
Pimbi wewe , kwahiyo hapo hujaona uvunjifu wa sheria?

Nadhani tatizo tulinalo ni kama la kwako. Kutukana watu badala ya kutoa hoja. Tungojee mahakama itakavyosema tutajua nani ni pimbi kati yetu.
 
Bongoland Ni Padua kichwa mkuu, MTU Hata kama anakosa anaweza akalibadili kosa na akalipwa fidia
 
Back
Top Bottom