Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
554
916
TAARIFA KWA UMMA:

Stanbic Bank Tanzania inayo taarifa ya ripoti ya Bunge inayohusu IPTL na akaunti ya Tegeta Escrow na tuhuma kwa Stanbic kutakatisha fedha haramu kwa kujihusisha na wahusika wakuu wa kashfa hiyo.

Tunapenda kuthibitisha kwamba Stanbic Bank Tanzania ilizingatia sheria kanuni na taratibu zote zinazotakika za kupambana na fedha haramu, na pia kuweza kushirikiana vyema na mamlaka yanayohusika katika uchuguzi wao.

Tungependa kuwahakikishia wateja wetu kwamba Stanbic Bank Tanzania siku zote inafuata masharti yote pamoja na sheria za maadili na udhibiti zilizowekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tutaendelea na nia yetu thabiti ya kuwatumikia wateja wetu siku zote.

UTAWALA
STANBIC BANK TANZANIA

SOURCE: NIPASHE, pg. 04

MY TAKE:

Hebu linganisha taarifa hii ya Stanbic ambayo imechelewa na inatoka leo wakati bunge limeisha wiki iliyopita na wabunge wako majumbani mwao, kisha linganisha na taarifa ya MKOMBOZI BANK iliyotoka wakati Bunge bado linaendelea.

Taarifa ya Mkombozi Bank si tu kwamba tuliiona, tuliijadili humu vya kutosha na wale ambao hawakuipata wasome thread hii (Bonyeza hapa).

Taarifa ya Mkombozi Bank inaeleza hadi tarehe yaani mtiririko wa matukio. Mkombozi Bank imeonyesha kwamba kila mtu aliingiziwa hela kwa TISS, yaani kwenye account yake na hivy hakuna mtu aliyeingiziwa hela kwa cash akajaze kwenye viroba, magunia au mifuko ya rambo na marbolo.

Stanbic hawasemi hilo. Wanasema tu walifuata taratibu bila kutaja mtiririko wa utaratibu na ku-dispute tuhuma za bungeni.

Mkombozi Bank walieleza jinsi walivyoshinikiza fedha zkatiwe kodi na ikapatikana Bilioni 38. Stanbic haisemi hilo wala haitaji kama kupitia Stanbic tumepata walau senti tano!

Kupitia Mkombozi Bank, tumeweza kujua majina ya waliopokea kama Tibaijuka, Kilaini, Nzigilwa, Ngeleja na wengine tele.

Stanbic haikutaja kabisa hili na hadi hii statement yao hatujajua ni akina nani walilipwa na kwa nia gani.

Hivyo, kwangu statement hii haiwasaidii lolote na badala yake imeonekana kwamba Mkombozi Bank imefanya jambo hili kwa uwazi kuliko kwa kifichoficho kama walivyofanya Stanbic na kama wanavyoendelea kufanya hata leo kwenye statement yao.

JADILI
 
...mie najiuliza haya yanatokea vipi kwenye nchi yenye yenye serikali makini.
 
Simple like that.

Hata hivyo sitarajii muhusika yeyote ajitokeze na kukiri kuwa alishiriki kutakatisha fedha haramu.
 
Hakuna cha kujadili maana ukweli ni kuwa Stanbic wanaficha mambo kwa kutoa statement ambayo haijibu chochote.
 
TAARIFA KWA UMMA:

Stanbic Bank Tanzania inayo taarifa ya ripoti ya Bunge inayohusu IPTL na akaunti ya Tegeta Escrow na tuhuma kwa Stanbic kutakatisha fedha haramu kwa kujihusisha na wahusika wakuu wa kashfa hiyo.

Tunapenda kuthibitisha kwamba Stanbic Bank Tanzania ilizingatia sheria kanuni na taratibu zote zinazotakika za kupambana na fedha haramu, na pia kuweza kushirikiana vyema na mamlaka yanayohusika katika uchuguzi wao.

Tungependa kuwahakikishia wateja wetu kwamba Stanbic Bank Tanzania siku zote inafuata masharti yote pamoja na sheria za maadili na udhibiti zilizowekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tutaendelea na nia yetu thabiti ya kuwatumikia wateja wetu siku zote.

UTAWALA
STANBIC BANK TANZANIA

SOURCE: NIPASHE, pg. 04

MY TAKE:

Hebu linganisha taarifa hii ya Stanbic ambayo imechelewa na inatoka leo wakati bunge limeisha wiki iliyopita na wabunge wako majumbani mwao, kisha linganisha na taarifa ya MKOMBOZI BANK iliyotoka wakati Bunge bado linaendelea.

Taarifa ya Mkombozi Bank si tu kwamba tuliiona, tuliijadili humu vya kutosha na wale ambao hawakuipata wasome thread hii (Bonyeza hapa).

Taarifa ya Mkombozi Bank inaeleza hadi tarehe yaani mtiririko wa matukio. Mkombozi Bank imeonyesha kwamba kila mtu aliingiziwa hela kwa TISS, yaani kwenye account yake na hivy hakuna mtu aliyeingiziwa hela kwa cash akajaze kwenye viroba, magunia au mifuko ya rambo na marbolo.

Stanbic hawasemi hilo. Wanasema tu walifuata taratibu bila kutaja mtiririko wa utaratibu na ku-dispute tuhuma za bungeni.

Mkombozi Bank walieleza jinsi walivyoshinikiza fedha zkatiwe kodi na ikapatikana Bilioni 38. Stanbic haisemi hilo wala haitaji kama kupitia Stanbic tumepata walau senti tano!

Kupitia Mkombozi Bank, tumeweza kujua majina ya waliopokea kama Tibaijuka, Kilaini, Nzigilwa, Ngeleja na wengine tele.

Stanbic haikutaja kabisa hili na hadi hii statement yao hatujajua ni akina nani walilipwa na kwa nia gani.

Hivyo, kwangu statement hii haiwasaidii lolote na badala yake imeonekana kwamba Mkombozi Bank imefanya jambo hili kwa uwazi kuliko kwa kifichoficho kama walivyofanya Stanbic na kama wanavyoendelea kufanya hata leo kwenye statement yao.

JADILI

Kama ni wasafi CEO wao wamemtimua kwasababu gani, waache siasa wakati huu sisi Watanzania tunauchungu sana. Kama walifuata sheria je unaruhusiwa kutoa mabilioni hayo kwa siku mbili tena katika viroba na magunia.
 
Sidhani kama kuna Mtanzania Mzalendo bado anawatumia hao jamaa.

Kama wasipotoka na majina ya watu waliochukua fedha au kuonyesha zile fedha zilienda wapi kama wenzao basi hatutakuwa na jingine lolote jipya zaidi ya kusema ni WEZI na mwakani mwezi December, inabidi tuwapandishe kizimbani kwa kutakatisha fedha chafu. Wamevunja sheria na miiko yote ya Kibanki duniani. SHAME ON THEM.
 
Pengine wapo sahihi!

Inawezekana CEO wao alikuwa akifuata maelekezo ya jinsi ya kupitisha hizo fedha kutoka BOT/IKULU, na ndio maana wakamwajibisha!
 
TAARIFA KWA UMMA:

Stanbic Bank Tanzania inayo taarifa ya ripoti ya Bunge inayohusu IPTL na akaunti ya Tegeta Escrow na tuhuma kwa Stanbic kutakatisha fedha haramu kwa kujihusisha na wahusika wakuu wa kashfa hiyo.

Tunapenda kuthibitisha kwamba Stanbic Bank Tanzania ilizingatia sheria kanuni na taratibu zote zinazotakika za kupambana na fedha haramu, na pia kuweza kushirikiana vyema na mamlaka yanayohusika katika uchuguzi wao.

Tungependa kuwahakikishia wateja wetu kwamba Stanbic Bank Tanzania siku zote inafuata masharti yote pamoja na sheria za maadili na udhibiti zilizowekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tutaendelea na nia yetu thabiti ya kuwatumikia wateja wetu siku zote.

UTAWALA
STANBIC BANK TANZANIA

SOURCE: NIPASHE, pg. 04

JADILI

Kama kweli walijua haya kwa nini hawakuwashauri hao wateja wao kulipa kodi wakati hela zinaingi?
Kwani sini kazi yao kuhakikisha kiasi cha TRA hakipuigwi juu kwa juu...?

Stanbic ni benki ya madalali na wezi nchi hii...maswahiba wote wa serikali hii wana-deal na banki hii....

No wonder Bashir alitoswa maana hata yeye anayajua haya...
 
ukiona haya ndio utajua usalama wa taifa wana kazi gani tanzania.Tz hakuna kinachoshindikana
 
Kama ni wasafi CEO wao wamemtimua kwasababu gani, waache siasa wakati huu sisi Watanzania tunauchungu sana. Kama walifuata sheria je unaruhusiwa kutoa mabilioni hayo kwa siku mbili tena katika viroba na magunia.
well said bubu hebu nitumieaccount yako nikutumie milioni ya vocha
 
Back
Top Bottom