Mssesejunior
Senior Member
- Nov 21, 2014
- 130
- 31
Kwa mtazamo wako ni sheria ipi ambayo Mkombozi imekiuka? Je ulitaka Mkombozi wawaite TAKUKURU, Usalama wa Taifa, CAG na vyombo vingine vya dola vichunguze ndipo wapokee fedha za mauzo ya hisa? Kama benki ilifanya KYC ipasavyo unataka ifanye kipi cha ziada?
nashukuru umemuliza swali ambalo nami ngependa kujua hasa ni wapi benk imethibitika kua wamefanya kosa