Kama umezoea kuagizwa ni wewe! Mimi naongelea Usaliti, kitu ambacho ni kweli kimetokea, au ilipaswa niache? Kama imekuuma pole!Umeagizwa
Kwakuwa umezoea kutumwa unadhani Wote tunatumwa? Ficha Upumbavu wako!umetumwa?
I will do it may be next time, but if you have time, you can tune to Clouds mida hiyo!Ni vizuri ukarekodi na kuweka hapa ili tujue ni kweli wamewasaliti kuliko kuweka maneno matupu.
Siwafahamu saana waimbaji wa Taarabu kwani sii mpenzi wa Taarabu ila nadhani ni Isha Mashauzi!Huo wimbo unaitwaje?!nani ameimba?!
Ngoja nifatilie mkuuSiwafahamu saana waimbaji wa Taarabu kwani sii mpenzi wa Taarabu ila nadhani ni Isha Mashauzi!
Wamezingua, wachukuliwe hatua. Otherwise hakuna wanachokifanya.Yes! Hongera Makonda, Jiji la Dar sijui nini....!