Tecno Yapindua Soko La Dunia

Iliyokua hapo sio Tecno. Ukisema utaje Tecno pekee basi usingeiona hata top 5 hapo. Transsion Holdings kiujumla inahusisha Tecno, itel na Infinix, sielewi kwa nini wamezijumuisha pamoja wakati kila moja inajitegemea kivyake na hata software zao ni tofauti. (Hiyo ni collection ya brand tatu kwa pamoja chini ya Transsion Holdings)
Tecno kama Tecno bado sana
Wangefanya hivyo kwa BBK nako ingekuwa fair, kwa sababu BBK nayo ina brands kubwa kama One Plus, Oppo, Vivo, Realme na iQOO kwa pamoja

Transsion imekua kwa kasi baada ya ku invest nchini India, na huu ni uthibitisho kuwa watu wengi wananunua midrange na low end kuliko flagships
Transsion holdings ndiyo kampuni mama ya tecno, itel & infinix
 
Back
Top Bottom