Mfano wako ni tofauti mkuu
Xiaomi, Redmi na Poco hazi operate independently kama ilivyo kwa Tecno, Infinix na itel. Zote zina share vitu common na zinabeba jina la kampuni mama "Xiaomi"
Hizo Tecno, Infinix na itel ni independent brands, ila Xiaomi (Mi), Redmi na Poco ni sub-brand, ni kama series iliyopewa majina yao special lakini brand name ni Xiaomi. Ndio maana utakuta simu inaitwa Xiaomi Redmi Note 12, Xiaomi Poco F5 nk na wala hautakutana na Transsion Tecno Spark 8 au Transsion Infinix Note 10 kwa sababu Tecno, Infinix na itel sio sub-brands bali ni complete brands kabisa zinazofanya kazi independently.
Zinajitegemea hadi utengenezaji wa software, Transsion inabaki kuwa kampuni inayo hold brands kama ilivyo BBK Groups