Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

Nilianza na
Nokia
Blackbery
Sumsang
Tecno

Ila nimeirudia sumsang
Yangu iphone hadi wafike s 10! Wakifika hapo na mim nanunua iphone s5
nokia-featre.jpg
jina la hii nokia na bei yake tafadhali.
 
Nisaidien uelewa kidogo ktk hili juu y kampuni y tecno kwann hawatoi muda kdogo wa mtu kujidai na cm yke toleo jpya japo kw 6 months hatimaye kila baada mwezi wanabrand new product
 
Hiyo miaka mitano hao wngine watakuwa wamemsubiri?
hata kama wewe ulitegemea lini nokia atafulia
au black berry

techno kaanza mwaka gani katika smartphone na leo sumsung lg htc wanatishika ujio wake kwanza anawapiga gap bado iphone tu sumsung anatoa simu mwezi mmoja anairudisha tena kuitengeneza sio kuchoka huko
 
Tofauti na matumizi hayo mkuu matumizi gani mengine unatumia? au ku download movie
Mi ni fan mkubwa wa gaming, natumia mda mwingi kucheza game nikiwa napumzika au nimemaliza kazi zangu, so game zinazohitaji GPU kubwa ukizicheza kwenye simu kama za tecno hutaona raha na kama ulishazoea kucheza kwenye simu zenye GPU kubwa utakuwa disappointed kabisa
 
Nisaidien uelewa kidogo ktk hili juu y kampuni y tecno kwann hawatoi muda kdogo wa mtu kujidai na cm yke toleo jpya japo kw 6 months hatimaye kila baada mwezi wanabrand new product
Makosa mengi yanahitaj kujisahihisha kila muda mfupi
 
hata kama wewe ulitegemea lini nokia atafulia
au black berry

techno kaanza mwaka gani katika smartphone na leo sumsung lg htc wanatishika ujio wake kwanza anawapiga gap bado iphone tu sumsung anatoa simu mwezi mmoja anairudisha tena kuitengeneza sio kuchoka huko
mkuu unajua kuwa tecno hatengenezi simu right? just wanabandika tu jina. kama una dola 10,000 tafuta jina chagua na simu ya tecno unayoipenda tunaenda china tunazipata exactly kama hio tecno uliochagua. so hata wakae miaka 100 kama hawana research department, hawadesign simu, etc ujue watabaki tu kuwa kampuni ya kijanja janja.
 
Inawezekana ni kweli unachosema embu niambie hiyo app ambayo sitaweza kwenye haka katecno nirudi awali
Tafuta game kama GTA Vice City au Grand Theft Auto San Andreas au Modern Combat 5 install kisha mtafute mtu mwingine mwenye Samsung Galaxy S7 afanye installation ya the same game kisha mcheze halafu ndo utaona na kujua experience ya utofauti
 
Nina iphone lakin hiyo tecno phantom 6 plus lazima niinunue.... Sio vibaya kupata new experience right? 😛
 
mkuu unajua kuwa tecno hatengenezi simu right? just wanabandika tu jina. kama una dola 10,000 tafuta jina chagua na simu ya tecno unayoipenda tunaenda china tunazipata exactly kama hio tecno uliochagua. so hata wakae miaka 100 kama hawana research department, hawadesign simu, etc ujue watabaki tu kuwa kampuni ya kijanja janja.
HILI NDO NALIJUA kwako mkuu na hii ndio sababu wanatoa new brand bila interval ya kueleweka?
 
Tafuta game kama GTA Vice City au Grand Theft Auto San Andreas au Modern Combat 5 install kisha mtafute mtu mwingine mwenye Samsung Galaxy S7 afanye installation ya the same game kisha mcheze halafu ndo utaona na kujua experience ya utofauti
Mkuu napataje hizi gta za simu niweke kwenye galaxy s6!? Vp ukubwa wake bundle niandae gb ngapi mkuu !?
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom