Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

Aje mtu apinge kuwa oukitel kwa kukaa na charge full data connection siku mbili
 
mkuu naomba ubadilishe hapo kwnye 21 megapixel haraka

[HASHTAG]#sipendi[/HASHTAG] ujinga mimi
 
vllkyt4pcrr1fv92f.9bbee326.jpg
Sasa iyo camera mbona ni 8mp
 
Tatizo mnaleta dharau kwa kufananisha na simu ambazo sio kiwango cha tecno, unawezaje kuifananisha tecno na iPhone au Samsung!? Tecno ana watu wake wa kufananishwa, kumbuka ukianza dharau lazima na wewe udharauliwe
Yaani mtanzania unadharau wakati hata kutengeneza sindano huwezi! Wacha sisi tutumie tecno ila jamiiforum twaingia woooote
 
Yaani mtanzania unadharau wakati hata kutengeneza sindano huwezi! Wacha sisi tutumie tecno ila jamiiforum twaingia woooote
Yah wote mnaingia.

Hata mwenye tecno m3 anaingia.ila akisema iko sawa na yako hiyo c9 sidhani kama utamuelewa.
 
Yah wote mnaingia.

Hata mwenye tecno m3 anaingia.ila akisema iko sawa na yako hiyo c9 sidhani kama utamuelewa.
tena kitu kina android six marshmallow. Tusidanganyike na brand names specifications za device kama zinameet your requirements ndiyo mpango Nina's.
 
tena kitu kina android six marshmallow. Tusidanganyike na brand names specifications za device kama zinameet your requirements ndiyo mpango Nina's.
Bland ina mata sana hapa.kabla hatujaanza na specifications maana ni wachache sana wanaojali hivyo vitu.sasa angalia kama hiyo simu eti ina marshmallow!!!!huu ni zaidi ya uhuni.

Yaani mtu atoe zaidi ya laki tano kununua simu na bado aonekane mtu wa hovyo hovyo kwa kuchagua tecno aaaaah wapi!!!!!!
 
Back
Top Bottom