Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

At first nilikua naona lumia ndio kila kitu,charge mpaka wepesi wa simu ,android niligusa samsung na htc but kubwa kugusa ilikua samsung grand prime pia niligusa iphone 3g ,nikarudi kwenye lumia screen kubwa na phone nyepesi ,sikuchoka nikaamua nijaribu android kubwa nikatua kwenye s6 ebhanaee kweli hizo simu techo,itel,lumia utaziongea tu ila ukikutana na samsung yenye ram kubwa uhami yaaan hapa nimetulia kwenye s6 kuanzia camera,user friendly,internet speed yaan sina la kusema sidhan kama nitarudi nyuma anaeisifia tecno ajaribu samsung yenye ram atleast 2gb ataona utofauti mkubwa saaaana
 
Ingekuwa tecno ndio imelipuka sipatii picha maneno gani yangesemwa
 
Back
Top Bottom