Naona unaongea vitu usivyo vielewa...yani htc,lg,Samsung wanatishika na tecno?
Hivi simu kama G2 ya 2013 utafananisha na tecno ipi labda..kuanzia camera,soc,battery life,gpu
Kukimbizwa na mnyama wa 2013 bado uje kufafananisha tecno na Lg,Samsung, htc
Ndio mana hadi leo system update mnaiskia kweny bomba tu [emoji2] [emoji3]
Humu kila siku ndio mnaaongoza kuomba misaada ya tecno..naomba uanze kuesabu threads za matatizo ya tecno.
Hata ukitengeneza scale of preference nafikir kwa matatizo lukuki ya tecno yanayo kua posted jf basi tecno nafkir utaiweka mwishon huko.[emoji3]
Ila kama unaishia kuchat,na kuskiliza mzik wa boom j8 sawa tu we endelea tu na tecno yako simu ambayo hata makao makuu yake hayajulkan.