Mmmh.
Kumbe na weye Team Tecno eeee?
OnlineHizi xianomi bado mnaziagiza online au zishafika madukani Bongo ?
Hahahaaa. Lolwazee wa cheap cheap tupo tecno, iPhone na Samsung tumewaachia wenye pesa zao
Watumiaji was Samsung kila wanapoenda lazima wabebe chaja mfukoni hata kama ni safari ya masaa matatuHahahaaa. Lol
Wazungu wanawafilisi kwa kuvipa vitu vyao Dhamani ila hakuna cha ziada mkuu.
Katecno kangu kanaingia facebook,whatsapp,instagram,twitter ,jf na site kama zote alafu nimekanunua laki 3 tu vipi we i phone yako ya milioni 3 ina kitu gani cha tofauti zaidi ya i cloud na Security ya uhakika.?
Acha ukabila wewe, tatizo lako unafikiri kila mtu amesha tumia tecno kama wewe , mi hata kuoona sijawahi ona zinafafanaje, hebu ntumie basi hata picha nione zinavyo fanana, lolAcha masihara wewe, utakuwa mhaya bila shakaπππ
Hawatakuelewa hapo mkuu simu kioo tu kama laki 3 sasa si bora ununue tecno mpya kabisa.
Niseme tu ukweli, mimi Samsung nimezichukia hasa zinapopasuka screen/kioo kiurahisi.
Tecno yangu nimeidondosha mara nyingi sana kwenye sakafu lakini imepasuka kidogo sana
Kitambo nishatua na mabegiOngera sana karibu kwenye ulimwengu wa Tecno
Kitambo nishatua na mabegi
Haka katecno kangu kanaenda kumaliza mwaka wa tatu kwakweli napambana nako mpk kanifie nitafute techno nyingine.Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Ninachoipendea Techno ni vile hata ikipotea ni fasta naenda kuvuta nyingine.
Ila shida zake ni siri yetu watumiaji.
πππ I see wewe kibokoπππAcha ukabila wewe, tatizo lako unafikiri kila mtu amesha tumia tecno kama wewe , mi hata kuoona sijawahi ona zinafafanaje, hebu ntumie basi hata picha nione zinavyo fanana, lol
Ndio hivyo jamaaaπππ I see wewe kibokoπππ