Na bei inaruhusu, hata kioo ikivunjika huwazii, 300k unavuta ingineParagraph yangu ya pili nimeelezea kuhusu hilo kwamba japo hazidumu lakini kwangu ndio the best ikianza kuzingua nampa dogo atumie mi navuta nyingine mupya ukizingatia kila siku zinakuwa Up dated
Hiyo wanatumia sana mabaamedi na mameneja wa baa. Ngoja jioni ntamuuliza Paulina pale side way bar afu ntakupa mrejeshoNatumia tecno w5 lite,wadau iko vipi hiyo
Hiyo siyo tecno utakuwa ulipigwa ungejaribu kuifungua ungekuta betri ya samsung,chaji ya uhawei,future ya itel,ukiwasha inaandika Sony lakini kwenye kava ni tecno.Sasa hivi unatumia nini?
Mi Tecno ilinishinda kwa visa vyake. Bombardier ikipita juu yenyewe inajichaji automatikale. Ukienda hospitalini nesi akishika sindano yenyewe ina vibrate. Ukienda nayo msalani inapoteza network afu inaanza kuimba taarab...
Unajua 400,000k ni shilingi ngapi?Haha...Aisee...150,000/-. Sijui simu nzuri ya hiyo bei mkuu.
Si ujipange pange hata 400,000k misimu ya sikukuu kuna offer kibao unaweza pata ka-midrange ka Nokia au Samsung.
Au hata 300,000k hivi Tecno X zile nadhani ziko vizuri kutokana na specs zake
Utatumia tu one day ninachoipendea tecno daily wanajiupdate kutokana na mazingiraSijawahi tumia tecno ila pia sijafikiria kununua tecno, samsung s6 edge ilkuwa haikai na chaji nikanunua samsung c9 pro..aisee huu mwaka wa pili na sifikirii kuibadili kwa sasa, betri siku 2, ram 6gb, rom 64gb iko fasta no mastack...tecno mh
Tecno kwa mapichapicha ni KIBOKO uzuri wake ni affordable yaani features za Tecno let's say j8 ikiwa ni za Samsung tungennunua labda 2millionView attachment 861103
Sawa kabisa. Iphone wanatumia wadangaji.
Na wadangaji kama kina tunda ndio watumiaji wa i phone.
Oyeeeeeesimu tamu hii kinyamaaina future za i phone alafu iko soft ina sense kinyama ukigusa tu imooo
Tecno oyeeee
Tecnonino mnafikirisha sana mbongo zenu kujitetea na kujipa matumaini wakat moyoni hamna furaha na simu zenu. Hata wale wa chitchat tutegemee watadondosha hoja nzito sana.Hata Mimi tecno yangu inaingia whatsup, fb, tweeter na instagram Kama kawa na picha nzuriii ajab... Ulimbuken wa kukomaa na brand nlishaga Pona
Tecno for LifeHemb tuwe wakweli watu weng hutumia tecno kwa sbb ya either
1. Njaa(hili n suala la kawaida)
2. Ubahili(Nature na weng wapo kwenye kund hili)
3. Kutokua na uelewa wa ubora wa makampun mengne, kudanganyana(anakuambia tecno ina camera nzur sana, unaijua samsung wewe?) na urahisi wa upatkanaji
4. Mawazo mgando (Eti ikipotea au kuharbika siingii gharama kubwa.
5. Mkumbo, wateja wa tecno wanaongoza kwa kuigana, unakumbuka enz za H6, C8, C9, BOOM J7? ASAIV SPARK SERIES, yan ukpta pale aggrey ukiangalia chin kila boks lilitupwa ilikua n H6, c8, c9, boom j7 leo hii n spark, halaf wanakuaga na haraka kinyama, yan kabla hujamuwekea accessories za cm kwenye boks ashabeba cm amesepa na ma selfie kibao ashapiga,
Sent from my iphone x and samsung galaxy note 9 at once, nimezinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama
Umeandika upepo kama betri za samsung!Hemb tuwe wakweli watu weng hutumia tecno kwa sbb ya either