Hongera mleta mada ktk smartphone nilizotumia mara nyng ni hizi za tecno kwa kiasi kikubwa nawashukuru sn tecno kwa kutuwezesha kutumia whatsup,insta,vbe,skype etc kwa kuanzia na 110,000/=tecno N3 kipnd hcho,vile vile wamenisaidia kujua nn faida ya kuwa na cm yenye uwezo wa kusupport 3G,ktk kpnd hcho chote niliwahi kukumbana na changamoto 1 tu ktk tecno phantom(A+ or f 7) ambapo kunawakat nikifungua opera mini browser inapoanza kufunguka tu basi inakatakata heruf(inascrach).
KTK KUTUNZA CHARGE NAWAPA BIG UP KUBWA COMPARED TO SMARTS NYNGNE LIKE HUAWEY,SAMSUNG AND OV THE LIKE!
MWSHO NAWAPONGEZA KWA KUMUONDOA SOKON NOKIA