Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Utakuwa una matatizo ya macho ,wakati wa mchana nenda Setting -display -brightness then uongeze mpaka mwisho utafurahia sana simu yako
Naitumia phantom A+ kifupi ni simu nzuri sana tatizo majina tu wenzetu mnababaika nayo.camera,internet,game,na program nyungine nyingi kama andropen office yaani kuchapa kazi na kuprint pia ku-convert word kwenda PDF navifanya sihitaji tena laptop.pigeni domo.tecno phantom kabamba.
Kuna simu nyingi pia zina run Android na zipo powa...........
Mkuu mbona unadandia treni kwa mbele? umesoma urgument yangu kwanini A+ si sawa na S4?
Kimsingi nilikuwa nawajibu waliokuwa wanasema Phantom A+ ipo sawa na Samsung S4 kwa kila kitu
Sipo hapa kuibeza Phantom bali ukweli utasemwa.....always urgument yangu ipo kwenye SPECIFICATION za simu kama determination ya kujua ubora wa simu
Phantom ina specification karibu sawa na Sumsung S2 achilia mbali S3 halafu mtu anailinganisha na S4
Najua neno cheapest and low quality linakukwaza lakini ukweli ndio huo Tecno ni bidhaa duni na rahisi, kwakuwa zinarahisisha maisha kwangu mimi ni sawa tu mtu kuzitumia, maana kiukweli zimelenga soko la watu wa hali ya chini kama sisi Africa tuweze kufaidi ulimwengu wa tech
tumekariri kuwa expensive is better..wengi wenu hapa matumizi ya cm ni Facebook,whatsapp, jf,call na kupiga picha....! huo uduni wa techno uko wapi?
wadau naomba mniambie namna ya kuenable 3g kwenye samsung GT I8190 !
sasa hv duniani kuna simu moja tu ambayo unaweza soma mchana vizuri nayo ni lumia 1520 na sababu ni technolojia mpya inayoitwa assertive display.
si samsung si tecno si kampuni yoyote ya simu inaweza
Atleast phantom yangu inasoma vizuri tu kwenye mwanga mkali. Au labdamacho yangu yana nguvu zaidi!!?
Mkuu sipo hapa kuiponda Tecno........hata mimi ninayo.tumekariri kuwa expensive is better..wengi wenu hapa matumizi ya cm ni Facebook,whatsapp, jf,call na kupiga picha....! huo uduni wa techno uko wapi?
As far as I know hili ni jukwaa la tech inabidi tujadili mambo kwa uhalisia wake na sio siasa, kukubaliana na mkuu Nyarugando hapo juu kwangu mimi hakuna maana yoyote. Simu hazilinganishwi kwa staili hii mkuu,,,,,,,its all about specificationsKabisa haina tofauti na Galax 4 Mimi naitumia na ndg yangu anayo s4. Tumezicompea kwa kila kitu na ziko droo mkuu!
When one mentions Tecno, what comes to mind is some low end phone from China. With Phantom phones, tech joins the big league.
Halafu nahisi hujui hata hizo cm nyingine hujui kuwa zinabebwa na Android ,soma specification za simu kwanza na uulize waliyozitumia . Mimi nimetumia htc mwaka mzima ila usumbufu nilioupata afadhali ya hii tecno phantom a+. Usiwe na mawazo hasi kisa bei ni ndogo ,ningekuwa na muda ningekupa somo kuhusu bei ya bidhaa kama simu na perceptionism ideology kama zako.
Phantom A+ Specs:
Tecnos Phantom A+ comes with a couple of free accessories. The package comes with a screen protector already installed, a free flip case cover, a 2100 mAh Li-ion battery, white earphones, a travel charger and 2 micro USB data cables, a 2200 mAh battery bank that doubles as a torch, a 13 month warranty and the Phantom user manual.
Phantom A+ has a slim 9.1mm design, a 5.0 HD TFT Display, a 1.2Ghz Quad Core processor with 1GB of RAM and 4GB of ROM, GPU embedded and an expandable memory of up to 32GB, an 8 Mega pixel rear Camera with Flash and a 1.2 mega pixel front Camera, GPS, Bluetooth 3.0, an FM Radio, 3G antenna, A gyro sensor, Light and Proximity Sensor, Dual Sim capabilities and 2100mAh Battery. Phantom A+ runs on android 4.2 Jellybean Operating System. This is impressive and certainly makes Phantom A+ join the table of high end smart phones like the Samsung Galaxy S3, Nokia Lumia 820, iPhone 4S, HTCs, LG and Sony.
Apart from the usual applications like Gmail, Youtube, Maps, Browser, Calculator, Calendar, Notes, Video player, Recorder or FM tuner, Phantom A+ comes with more pre-installed apps like Opera Mini, UC browser, Whats app, Flash share, Torch app, OOBE, Quick Start, Calcare, and a host of Games.
Unique Phantom A+ Applications
OOBE App & the Quick Start App: The OOBE app gives you step by step instructions to help one setup the phone when new. This is essential as not all customers are adept when it comes to setting up devices. The Quick Start app takes one through all the basics and offers phone management tips.
The APK assistant: A mini offline app store with free pre-loaded apps that you can install even without a data connection. Having an offline App store is a huge plus as it saves users data costs.
Calcare App: An app that gives up date details of locations and contacts of all Tecno Calcare centres across Uganda and Africa. These are Techno service centers.
Flash Share: This is a Tecno exclusive app for sharing content between Tecno phones using WI-FI. No data is needed for its operation. With the app one can share folders, documents, MP3 files, videos, pictures and much more.
Asphalt: Good news for gamers. This is a popular game that comes pre-installed.
The slim 9.1mm Phantom A+ smart phone, just like Samsung galaxy S3 and S4, is wrapped in an anti-scratch polycarbonate back, with a look of a metallic finish on the sides. The design features a micro USB charging port and a 3.5mm earphone jack at the top of the device.
Display: 5.0 HD
Phantom has a large 5.0 HD screen. This is great for intensive users for editing documents, web use or watching Movies.
Camera:
Besides other functions, camera capabilities are one of the critical aspects of a smart phone I look into before delving into my wallet. I will pay a little more for a good photo. Just like the latest iPhone S5 or Samsung galaxy S3, Phantom A+ smart phone comes with an 8 Mega pixel camera equipped with a wide array of functions and modes; a standard DSLR camera capable of taking Multi angles, Panorama and HDR shots with a host of controls allowing you to manipulate Exposure, White balance and ISO.
Its camera has Color effects, multiple preset modes for easy photography, Anti Flicker, Continuous shot, Face detection technology, Face Beauty, a self-timer and an inbuilt photo Editor allowing you to retouch and add flair to your photos. The phantom, however, is not equipped with image stabilization capability or anti shake feature. If you can fail a breathalyzer test chances are high that you might not be able to take great stable shots.
The Phantom has an inbuilt 8GB memory expandable to 32GB. It can play multiple media formats like MP3, AAC, MP4 and AVI on top having an FM radio. These options as opposed to online music streaming services adopted by other smartphone vendors are more ideal for Africa where bandwidth is limited. Its radio has an inbuilt recorder that can record a radio show playable later.
Battery
One of the most annoying things about smart phones is their terrible battery life. We are forced to walk with bulky chargers in pockets and always on the lookout for power sockets each time we get into restaurant, board room or bar. When Samsung released their Galaxy S4 phones, I raced to an outlet and parted with a handsome amount. It had received great reviews, but the battery was a major put off. Phantom battery, however, is noticeably stronger. At the moment I manage to use my handset for up to 10 hours on 3G and even take longer when not on 3G. The phone comes along with a portable device; external battery bank that can be used for charging the phone when the battery dries up. Good innovation.
Mkuu asante sana kwa elimu. Mimi ni mtumiaji wa hii simu. Umetaja baadhi ya features kuwa zinakuja na hii simu lkn mimi sizioni. Nitaku-pm ili unielekeze. Natanguliza shukrani.
sasa hv duniani kuna simu moja tu ambayo unaweza soma mchana vizuri nayo ni lumia 1520 na sababu ni technolojia mpya inayoitwa assertive display.
si samsung si tecno si kampuni yoyote ya simu inaweza
kaka technology sio mapenzi kuwa unajisifia tuuu halafu hamna kitu. tunaomba hizo picha basiiiii. simu si mnazo easy toka nje hilo jua la saa saba piga pichaChief ubishi huo mimi nasoma
Msg viziri kwenye mwanga wa jua Kali sana la saa 7 mchana
hivi unajua bei ya s2 sasa hivi ni ni rahisi kuliko phantom?nimetumia galaxy s2 sijaweza enjoy kama navyo enjoy kwenye hii phantom.mwisho tunasems msifia mvua imemunyea kaka.
umeambiwa galaxy s4 clone the way unavyojibu hata huelewi unajibu nini hebu baada ya kukujibu hapa ntakuandikia post nyengine ya specification za galaxy s4 clone uone tecno phantom yako itavyochakazwa. kuhusu xperia ipo xperia m na nimeandika thread nzima kuisifia sasa unaposema nadanganya sijui umefanya research gani kuthibitisha.Samsung yenye screen kubwa au xperia yenye kubwa kama phantom A huwezi pata kwa laki 3.5 mkwawa acha uongo.
kuna mtu alienda dukani kununua s2 mwenye duka akamwambia nunua p3 hii ni bora zaidi akamuuzia kwa laki 4 p3. siku zote duniani wajinga hawaishi. kama maduka ya samsung yanauza pocket chini ya laki 2 (mwaka jana ilikua 180, wewe ukinunua 250 hapo umejitakiahiyo pocket yenyewe ni laki 2.5 alafu ni ya kawaida inazidiwa hata na techno M7 inauzwa laki 2.5 kwa kila kitu.ni wizi tu was samsang.poleni
kuhusu technical supporter kuna vitu naeza jibu na vyengine siwezi.Chief Mkwawa...inawezekana hiyo S4 unayoisifia ikawa na ubora kuliko Phantom je ikiharibika ina technical supporter kama ilivyo phantom? kuhusu Experia M wapi inauzwa bei ya laki 4 maana nimeona maduka mengi wanauza sio chini ya laki 5.....
7. 3g network
phantom inakamata kwenye 2100mhz tu wakati s4 clone ni 850 na 2100mhz. ushindi kwa s4 clone tena