Mkuu ni kweli kabisa brand names zimetupofusha sana, ndio maana nimeweka link hapo watu wajionee wenyewe.Xiaomi wanatengeneza simu nzuri sana mkuu. Ila ngoja waje watu hapa watakwambia usinunue bcoz inatengenezwa china. Wengine watakwambia usinunue hii brand yake sio popular kama ilivyo samsung.
Check hii simu MI3 kutoka XIAOMI bei ni ndogo lakini uwezo wake ni mkubwa sana, ukiangalia sepecificationzake na Samsung S4 its almost the same. Pitia hii link: Mi3 - xiaomi.com na hapa gsmarena: Xiaomi MI-3 - Full phone specifications
Mkuu ni kweli kabisa brand names zimetupofusha sana, ndio maana nimeweka link hapo watu wajionee wenyewe.
Hawa wanaosema mara bangi mara sijui nini nadhani wao ndio watakuwa na matatizo kwenye akili zao!
Hivi kuna ubaya gani kufanya comparison ya products mbili na kujua ipi ni ipi!
Hata kama Samsung Galaxy ni simu maarufu, haimaanishi kwamba haitakiwi kufanyiwa comparison na simu nyingine.
:dance:Proverbs 26:4-14 "When arguing with fools, don't answer their foolish argument...":dance:
Bei yake inaweza fika ngapi??
Check hii simu MI3 kutoka XIAOMI bei ni ndogo lakini uwezo wake ni mkubwa sana, ukiangalia sepecificationzake na Samsung S4 its almost the same. Pitia hii link: Mi3 - xiaomi.com na hapa gsmarena: Xiaomi MI-3 - Full phone specifications
.Daah ni ushamba tu si unajua N3 ilivyoingia sokoni wadau wakaileta humu wakasifia na mm nikasema sibaki nyuma nikaitafuta fasta unfortunately iliibiwa hiyo simu na hapo hapo P3 ilishaingia sokoni nikasema ngoja nijaribu kubadili hii ndo ilikuwa majanga haswa mpaka nikawa najuta hela yangu kila siku ni low memory siwez eka apps za maana yaani kero mwanzo mwisho nikaona niwape wanangu wachezee maana imenitesa mno nimeroot simu nikaondoa preinstalled apps zote lkn majanga yalibaki pale pale
Sina hamu na TECNO kabisa hata hii ya laki tatu siwez jaribu kabisa mchiba mchina tu hawezi tengeneza kitu cha maana
cjui ila nna jamaa ofcn amenunua iyo haijamalia mwezi betri ishabuma!!! kama kuna anayejua uwezo wa betri ya hii tecno ni ngapi interms of AH plz aweke comparison na s4.
kaka kuna game kubwa kama fifa na simpsons tapped nadhan kwa smooth operation kua na processor kubwa ni muhim usibeze kwa kigezo cha bei tu!!!
thanks for the analysis anyway!!
Kaka kwenye battery kuna mambo mawili.cjui ila nna jamaa ofcn amenunua iyo haijamalia mwezi betri ishabuma!!! kama kuna anayejua uwezo wa betri ya hii tecno ni ngapi interms of AH plz aweke comparison na s4.
kaka kuna game kubwa kama fifa na simpsons tapped nadhan kwa smooth operation kua na processor kubwa ni muhim usibeze kwa kigezo cha bei tu!!!
thanks for the analysis anyway!!
Kaka kwenye battery kuna mambo mawili.
1. Ukubwa wa battery (mah)
2. Life span ya cell.
1. Kwenye ukubwa wa battery wachina wanaweza kukuekea hata 13,000mah. Kuna power bank kubwa sana za kichina kwa bei rahisi.
2.life span ya cell hapa ndo wachina wasipojali battery nyingi zao unakuta zinachajika mwisho mara 100 halafu zinakufa. Kama ni mcheza magame kwa siku unachaji mara 3 tegemea mwezi tu battery ya kichina kufa.
Na hii inatokana na material fake yanayotumika.
Kuhusu suala la games hawawezi kukuelewa sababu wengi ni first time smartphone owner. Game kama gta san andreas ni 2gb+ kwenye android inamaana simu zote zenye 4gb haziwezi kucheza hili game. Simu ikiwa na 4gb hapa anazoachiwa mtumiaji ni 1.7gb hadi 2.2gb na njia kubwa ya kueka apps kwenye memory card ni kuieka kwenye phone memory kwanza halafu ndio unamove data kwenye sd card. Labda uwe mtaalamu sana kuzieka kwenye sd data za game kisha uipoint apk ikasome huko.
Mnavyo wadharau hao wachina,mngejua kuwa hata hiyo mikombora ,gun powder wamevumbua wao msingewadharau hivyo!Umetoa analysis nzuri....phantom kwenye screen ndio wameharibu sana....TFT is very chinese
S4 imempita mbali sana phantom kwa specs japo kwa wale wenye bajeti hafifu inawafaa sana
Mnavyo wadharau hao wachina,mngejua kuwa hata hiyo mikombora ,gun powder wamevumbua wao msingewadharau hivyo!
Mnavyo wadharau hao wachina,mngejua kuwa hata hiyo mikombora ,gun powder wamevumbua wao msingewadharau hivyo!