Hapo kwa kioo shikamoo bhana.. Mi cpend hata kidogo hardware... Mi nimejijenga sana kwenye software tu.... Ila nataman niwe mkali wa hardware ila naogopa bhana

Ipone sio iphone soma vizuri mkuu ila kwa ushauri iyo simu bado ipo ndani ya warrantee wapelekee TECNO wenyewe wapo kkoo opp na msimbasi police watakutengenezea bure