Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,012
Danpol kila siku unaanzisha mada mpya ya tecno,unauliza maswali unajibiwa,kesho unauliza yale yale kwenye mada mpya. Au unatoa sifa zile zile,mada mpya kila siku. Hata kama ni mapenzi hii ni too much.asubuhi unaleta mada ya tecno,jioni unafunga na mada ya tecno.
Tokea nijiunge humu sijawah kupost kuhusu cm, hii n mara ya kwanza kupost kuhusu cm
Last edited by a moderator: