ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
hii yako ndo hawajataja kabisa chip yake
Processors 1.5GHz hexa-core CPU, MediaTek MT6589 chipset
hii yako ndo hawajataja kabisa chip yake
Jidanganye we sema mfuko mwembamba sio swagz za ivyo galaxy bad number
Processors 1.5GHz hexa-core CPU, MediaTek MT6589 chipset
Simu za tecno na itel ni mbovu kupita kiasi, ukitaka tambua hili nenda pale katika ofisi zao za kariakoo ujionee lundo la watu wakirudisha hizo simu kwa matatizo mbalimbali, yaani at a time hukosi watu 50+ katika ofisi zao. Wote hawa wamerudisha simu zao mbovu.
Halafu kibaya zaidi unaweza ukaacha simu yako kwa ajili ya matengenezo, ikakaa mpaka miezi miwili+ haijatengenezwa ukiuliza utaambiwa spea hazijafika. Kuna ndugu yangu mmoja alinituma nimpelekee simu yake hapo maana ilizima ghafla, ila amini usiamini tokea march 8 mpaka leo hii simu hiyo haijatengenezwa. Ukiwauliza wanasema vifaa havijafika. Yaani jamaa ni wasumbufu sijapata ona. Yaani mpaka jamaa kaamua kununua simu nyingine.
Tecno ni mbovumbovu acha.
Binafsi mimi ni mpenzi wa Tecno, na nilikuwa mje mkubwa sana wa Samsung kabla.
Shukrani kwa Mrejesho Mkuu, WaTz wanakamuliwa kizembe sana.....
kariakoo wamehama nadhani ni kukwepa kero za wateja wanairudisha cm kwa matengenezo.
Nilinunua Tecno P7 ndani ya mwezi mmoja ikaanza kustack, niliipeleka castama kea,iliwachukua mwezi kuitengeneza na mbaya zaidi nilipoichukua nikitaka kukonekti data ina niambia invalid Imei.
ishu ya imei si tatizo la tecno ni tatizo la mediatek, mediatek wanatengeneza chip za bei rahisi ili simu ziuzwe bei rahisi lakini chip zao huwezi ku update os version na kila mara imei zina corupt. ipo solution ya kufix imei sema pia sio halali kisheria sababu hutakiwi kuibadilisha.
next time nunua simu yenye snapdragon au processor yoyote ya qualcom ndio best. siku hizi kuna simu zina power kama s5 au zaidi kwa dola 250 tu (shilingi laki 4) mfano wake ni hii simu mpya ya oneplus one.
chief nisaidie jinsi ya kutatu hili tatizo la imei
Samahani mkuu nimefikia stage ya kuweka Imei, hapa nimekwama natumia imei gani ya simu au niliyoikuta kwenye Screeshot ya Mtandao ulionipa?
ishu ya imei si tatizo la tecno ni tatizo la mediatek, mediatek wanatengeneza chip za bei rahisi ili simu ziuzwe bei rahisi lakini chip zao huwezi ku update os version na kila mara imei zina corupt. ipo solution ya kufix imei sema pia sio halali kisheria sababu hutakiwi
kuibadilisha.
next time nunua simu yenye snapdragon au processor yoyote ya qualcom ndio best. siku hizi kuna simu zina power kama s5 au zaidi kwa dola 250 tu (shilingi laki 4) mfano wake ni hii simu mpya ya oneplus one.
LG G3 kwa sasa ndiye mwenyekiti wa Android akisaidiwa na Sony Xperia Z2. Halafu kidogo Samsung S5 na mwisho HTC M8 mengine yote maigizo tu