Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.

Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.

Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.
Navilevile upande wa pili wa tecno sio kwenye group aliyoitaja. Bali upande wa pili wa tecno ni itel. So mwambie alumbane na watu wanaotumia itel. Asijilinganishe hata na huawei.
 
YAANI RaDHA YA JUKWAA IMEPOTEA KABISA !

JUKWAA ZIMA TECNO TECNO !

ABASH WORLTHLESS TO LOGIN

Nadhani muda umefika Moderator muunganishe mada zote zinazohusu tecno. Lakini pia zipelekwe jukwaa la matangazo. Nina taarifa kua kuna baadhi ya wauzaji wa tecno kariakoo wana vijana wao humu wamewapa kazi ya kupromote tecno humu,pia nafaham hayo maduka. Haya mnayoyaona humu tecno tecno,tecno usifikiri ni wateja wanauliza,ni marketing strategy, ni wenye maduka wanafanya promo Invisible.
 
Last edited by a moderator:
Navilevile upande wa pili wa tecno sio kwenye group aliyoitaja. Bali upande wa pili wa tecno ni itel. So mwambie alumbane na watu wanaotumia itel. Asijilinganishe hata na huawei.

Mkuu huawei ndo wale wale tu, kwa sababu hata wao mf ku upgrade android version haiwezekan
 
Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.

Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.

Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.

"Tecno wanatumia monkey, wale wengine ndo wanatumia gorrila"

Ulinifurahisha sana mkuu
 
Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.

Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.

Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.

Mifano yako sio sawa, hata vits na range zote zinafika zinakokwenda. Anayepanda vits hafiki destination tofauti. Ukilinganisha speed, ukubwa n.k hapo sawa.
Mtoa mada anaongelea matumizi ya kawaida. Chukulia hivi, ukiwa kwenye "wasapu" au "fesibuku" au "twiraa" mimi wa tecno na wewe wa samsung tofauti yetu nini? mambo si yale yale tu?
 
kweli Kichwa Ndio Mtu ifike wakati sasa tecno wawe na jukwaa lao maana post zake humu zimezidi

Nadhani muda umefika Moderator muunganishe mada zote zinazohusu tecno. Lakini pia zipelekwe jukwaa la matangazo. Nina taarifa kua kuna baadhi ya wauzaji wa tecno kariakoo wana vijana wao humu wamewapa kazi ya kupromote tecno humu,pia nafaham hayo maduka. Haya mnayoyaona humu tecno tecno,tecno usifikiri ni wateja wanauliza,ni marketing strategy, ni wenye maduka wanafanya promo Invisible.

Hahaha aisee u guys mmenifurahisha sana. ....jukwaa limechafuliwa na tecno Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.

Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.

Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.

Wewe ndio umeongea non sense kabisa, utofaut kati ya range na vitz ndio, je utofaut gan uliopo kat ya Galaxy na Tecno? utofaut kat ya Nyumba ya nyas cjui na nn upo, kuna utofaut gan kat ya HTC na tecno? Toa mifano hai acha mifano mfu
 
ukweli Tecno mpango mziiiiiiima
bei ndogo kilakitu kiganjani karibu tecno
 
Tuna mpango wa kuzima simu zisizo na viwango vya kimataifa simu gani europe yote na marekani haipo
 
Mifano yako sio sawa, hata vits na range zote zinafika zinakokwenda. Anayepanda vits hafiki destination tofauti. Ukilinganisha speed, ukubwa n.k hapo sawa.
Mtoa mada anaongelea matumizi ya kawaida. Chukulia hivi, ukiwa kwenye "wasapu" au "fesibuku" au "twiraa" mimi wa tecno na wewe wa samsung tofauti yetu nini? mambo si yale yale tu?

ukinunua simu ya milioni unakuwa huweki vocha mpaka simu iharibike ila tecno inakula hela hiyo ili kufidia simu kama iphone na samsung
teh teh teh
 
nimekusoma sana B2L but nikitaka kubadirisha kama maelezo yako yanavyosema, siioni option ya ku edit, how can i do that?
 
Last edited by a moderator:
Tecno ni simu zetu kipato cha chini. Nina tab tecno N9, haitoi picha nzuri,na applications nyingi tu nashindwa kuzitumia. JF nipeni uvumbuzi.
 
Back
Top Bottom