ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
China wanatengeneza vitu kulingana na need ya mteja,hivi vitu fake ni sisi wenyewe tunavitaka.Tecno ni kama wewe tu ukiwa na mkwanja unaenda China wanakutengezea Simu zinaitwa Chabo unakuwa unatoa matoleo tofauti tu.Kulinganisha Samsung na Tecno ni kuwakosea heshima Samsung.For sure Tecno simu zao ni ghali kuliko hata samsung kwa kuangalia quality ya material ya hardware.
kununua simu 1.6M wakati laptop high quality hp unanunua kwa 1.3M huo ndio ujinga wa kununua jina na sio bidhaa. hadi sasa simu ghali.kabisa ya tecno bado haifiki hata nusu ya simu ghali ya samsung.