kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,348
- 559
Samahani naomba kujua simu ipo bora kati ya hizi
1. Huawei Y 300
2. Tecno P5
3. Tecno H5
asante kwa taarifa mtakayonipa
Tecno P5.
-internal space 4gb, 1gb ram

nina tecno M3 sasa nataka niweke whatsapp+ ila inagoma mwanzo nilikuwa natumia whatsapp ya kawaida. Kila nikijaribu inaniambia hvyo kama inavyoonekana kwa picha.
MSAADA WADAU

ungetoa link mkuu..Kuna whatsapp ambyo ukidownld ukiinstal kwny baadh y simu inkataa download hyo whatsapp+ kutoka xda website ndo hainaga shyda hzo
jamany nimeipenda tecno f5 nasikia inaram 1gb. nataman nikanunue nipo mwanza mwongozo wakuu??
Wakuu nina tecno tab n9 haiplay videos naomba msaada