Naenjoy kuwa na techno kwani sasa napiga video calls
Samahani kidogo mkuu unaposema "unlocked" unamaanisha nini?
Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.

NYie jamaa mnanichekesha Sana.
NA vp namna ya kutoa logo ya tecno na sauti pindi unapowasha simu?
hehehe funguka
Wakati nasoma hii post kuna Mdada pembeni yangu Alikuwa analalamika tecno yake inapoteza network, hivi tatizo linakuwa Ni nini hasa?
wadau hebu tuwekane sawa maana sisi timu tecno tunapigwa majungu sana na hawa wa upande wa pili, NI KITU GANI HASA AMBACHO SIMU ZAO SIJUI GALAXY SIJUI HTC SIJUI IPHONE NGAP NGAP HUKO SIJUI LUMIA NGAP NGAP HUKO ZINA FANYA AMBACHO TECNO ZETU HAZIFANYI????
mnatupigia kelele weee wakat unachokifanya kwako na mim nafanya vile vile
Kuweni wapole, kubalin mmepoteza hela tu, ubora n ule ule, uwezo n ule ule, tofaut n makampun tu na gharama
Mungu mbariki mchina aendelee ku produce hii bidhaa, hehehe Simu inayozalishwa na samsung yenye thaman ya lak 6 kendelea n= Tecno ya lak na nusu, Tuambizane n nini mnafanya kwenye cm zenu sisi familia ya Tecno hatuwez
Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.
Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.
Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.