Unanishawish Nikanunue P5, Weekend Ijayo
Tecno smartphones ni miongoni mwa simu zinazokosesha raha makampuni makubwa kama samsung hapa bongo, hili kampuni limefanikiwa kupenyeza kiakili bidhaa zake kwenye soko, hakika hutajutia pesa yako maanaenjoy sana, vijana wengi unakuta life limemchapa ila mfukoni ana simu ya milioni huu ndo nauita ujinga, ya nini ununue kitu cha milioni wakati kuna smartphone za bei rahisi tena original, hizi ndo sababu za kununua tecno:
1.Unapata bidhaa kwa bei rahisi , watu wote wa juu na chini wanauwezo wa kuinunua bei ikianzia laki hadi laki nne kulingana na sifa za simu
2.Ubora na Ugumu ni wa hali ya juu huyu ni mchina original sio wale kina -tide wale wanaosema hazidumu naona wanafki, watu wanadumu nazo miaka na miaka
3.Unaweza kuichaji popote hata kwenye basi maana unapewa kifaa kinaitwa power bank ambacho hutunza nguvu za kuchajia simu, hivyo hata safari za vijijin itafaa uende na hii simu
4.Zina Mapungufu madogo sana ukilinganisha na zile za makampuni makubwa kama HTC ambazo huuzwa kwa bei ghali sana kwenye mamilioni , mwisho wa siku unakuta vitu ni vidogo sana vilivyoizidi tecno mfano labda kuna simu zinakunjika ila tecno haiwez na kuna simu nyingine waweza tumia kwenye maji ila simu nyingi kama tecno haziwezi, na mapungufu mengine madogo sana
5.Ni simu iliyokaa kimawasiliano sana maana inapiga simu hata kwa njia ya internet na pia ina application kama whatsapp na facebook bila kusahau hii simu imeongezewa sehemu ya kuweka laini ya pili.
Unanishawish Nikanunue P5, Weekend Ijayo
Mimi kama mdau wa IT/electronics ninakubaliana na wewe 100% nimetumia tecno na ninazidi kuitumia kiukweli ni simu bora na haijaniangusha kwa lolote... na kila niliyemshauri anunue tecno especially P5 naye amefurahi na wengine hadi wameboresha na kununua H5, M5.
Ni uhakika kwamba atakayenunua tecno mobile hatojutia pesa yake kamwe!!!
Features zake:
1.internal storage ya uhakika
2.external SD card 8GB
3.Dual sim cards (Hapo ndio wameshika kweli, samsung chaaaali)
4.Battery ya uhakika.
5.CPU -affordable processor MTK (hapo ni kama dell na AMD)
hiyo external sD Card ndo wamebugi gb 8 tu? Wakati yangu inasapoti mpaka 32gb na haijafika hata laki.
Ni sawa na Glanza yangu simply becoz ninatembea nimekaa nikajifariji kwa kujilinganisha na Verosateh teh teh.mkuu shiny c nadhan sio mda mrefu tangu ununue tecno then kila unapopita unakuta watu wanakudharau ndio maana wiki hii uko busy kujifariji humu JF..
mkuu,mimi natumia TECNO PHANTOM PAD MIN(p9) lakini ni kutokana na umasikini tu,ningekua na ela ningecheka na iPad au Galaxy tab 3..
mkuu unataka kutuaminisha kuwa mashirika ya viwango ya nchi zote za wazungu yanaongozwa na watu wasio na akili hadi Tecno zisiruhusiwe nchini mwao..
unataka kunambia watu wote duniani walionunua Flagship za Lumia,apple,samsung etc.. hwana akili kwa kutumia ela nyingi wakat ipo phantoom a3 ya bei chee.!
kiukweli tecno ni simu nzuri kwa hzi bei za 120000 lakin kama asemavyo chief-mkwawa kuwa kamwe sitatoa zaid ya laki2 na nusu kununua simu ya Tecno..
hzo R7 znazouzwa laki5 n bora ninunue s3...
USHAURI WA MWISHO
unapoteza muda wako wa thamani kulazimisha Nyeupe kuwa nyekundu,n kweli tecno n nzuri lakin n kwasababu ya umasikin wetu,ila sio bora ku compare na samsungs,iphones,nk..
na hilo haliji kubadirika,unazid kujidhalilisha humu..