Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Mtu ambae anajua maana ya smartphone na ana hela ya kutosha kununua simu ya kueleweka hawezi kusettle kwa something less kama tecno,
kanunue mkuu hujakatazwa
Mtu ambae anajua maana ya smartphone na ana hela ya kutosha kununua simu ya kueleweka hawezi kusettle kwa something less kama tecno,
teh teh teh.mkuu shiny c nadhan sio mda mrefu tangu ununue tecno then kila unapopita unakuta watu wanakudharau ndio maana wiki hii uko busy kujifariji humu JF..
mkuu,mimi natumia TECNO PHANTOM PAD MIN(p9) lakini ni kutokana na umasikini tu,ningekua na ela ningecheka na iPad au Galaxy tab 3..
mkuu unataka kutuaminisha kuwa mashirika ya viwango ya nchi zote za wazungu yanaongozwa na watu wasio na akili hadi Tecno zisiruhusiwe nchini mwao..
unataka kunambia watu wote duniani walionunua Flagship za Lumia,apple,samsung etc.. hwana akili kwa kutumia ela nyingi wakat ipo phantoom a3 ya bei chee.!
kiukweli tecno ni simu nzuri kwa hzi bei za 120000 lakin kama asemavyo chief-mkwawa kuwa kamwe sitatoa zaid ya laki2 na nusu kununua simu ya Tecno..
hzo R7 znazouzwa laki5 n bora ninunue s3...
USHAURI WA MWISHO
unapoteza muda wako wa thamani kulazimisha Nyeupe kuwa nyekundu,n kweli tecno n nzuri lakin n kwasababu ya umasikin wetu,ila sio bora ku compare na samsungs,iphones,nk..
na hilo haliji kubadirika,unazid kujidhalilisha humu..
Muanzisha mada na team tecno wote wako kishabiki sana no matter how many facts watapewa. Ukitazama wote washabiki wa tecno wana sifa moja inayofanana... Wote husema utanunuaje simu ya milioni wakati kuna equivalent ya bei nafuu (tecno).
nimeusoma uzi huu kwa makini jinsi tecno team ilivyochangamka hapa.mimi sina mchango wowote maana ni ant tecno labda niwaulize swali na mnijbu,hivi manufacture wa tecno ni nani maana unapoinstall cpu z ktk simu za tecno mtengenezaji wa simu hizi hajulikani
kama una akili na unajua kuhusu simu huwez kukubali kuuziwa Phantom A+ kwa laki 4 na nusu,labda ina deserve laki 2
Mkuu mimi kwanza sijawahi tumia Tecno ila ninacho sema ni kwamba TECNO kiukweli huwezi linganisha na makampuni mengine makubwa ya simu kama Nokia, na kazalika, Ila unapo kuja kwenye swala la kimaendeleo TECNO wanajitahidi sana ukilinganisha na umuri wao kwenye soko la simu,
Na China ina historia ya kutengeneza bidhaa nyingi na kuchekwa ila mwisho wa siku wao wanacho angalia ni kwamba hawataki kuagiza bidhaa kutoka nje.
China leo ndo nchi inayo ongoza kwa kuwa na akiba kubwa kabisa ya fedha za kigeni kuliko ncho yeyote ile Duniani na hii ni kwa sababu jamaa wana import mno kuliko ku export, na ni kwa staili hizi hizi za wakina Tecno ndo zinawafanya watoke,
Ila hawa jamaa kwa miaka michache ijayo wanaweza toa upinzani wa kufa mtu kwa makampuni makubwa ya simu,
Kingine ni kwambo Wao wameamua kuja na marketing strategies yao ya kuzalisha kwa ajili ya Africa na ni moja ya strategies katika soko, Unaweza waona wajinga au waoga kujikita Africa ila ni moja ya mbinu ya kutafuta capital ya kuingia kwenye masoko ya mabala mengine,
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...74532-tecno-phantom-z-ujio-mpya-wa-tecno.htmltecno hamna simu mule ni ushamba na kutozijua simu
kuna tecno orijinal na feki mkuu nadhani hiyo ni brand feki