Tecno L3, Too many pattern attempts?

Tecno L3, Too many pattern attempts?

MRAU

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
156
Reaction score
235
Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie.
 
Umejaribu google wakakusmbiaje?.hebu anzia huko ikishindikana huko ndio uje hapa jamvini


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ishu ni kwamba sikumbuki password
 
Ingekuwa uliweka email ya gmail. Ingekuwa rahisi mno
 
Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie.

wala haiitaji tuition.zima simu yako,ikizima kisha bonyeza kitufe kimoja cha kuongezea ama kupunguza sauti pamoja na batani ya kuwashia vyote kwa pamoja then utaona tu mwenyewe.asante sana
 
Hold volume up/down button and press power button
 
volume up+ home button + power button.. ikiwaka achia power button. chagua wipe data/reset
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom