Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Unaweza kutuambia,.... Ni vitu gani Tecno ameiga kwa P20? Au unasema tu kujiliwaza?
Inawezekana sio kuiga ila muundo wa nje zimefanana inakuwa kama kipindi cha nyuma kulikuwa na google nexus simu kubwa karibia zote isipokuwa bb na nokia hazikutengeneza....sasa kwa kuwa tecno tushazoea watu wakucopy idea basi moja kwa moja unawaza huawei atakua alianza....upande wa ndani ni mbingu na ardhi huawei mbali sana ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Design is not just what it looks like and feels like. Design is how it works".
Steve Jobs
 
Simu kibao tu midrange zimeikimbiza hiyo tecno yako
Kwani ugomvi babu, unaheeeema utadhani unapewa commission na makampuni ya simu. Mi nimeongelea tu suala la bei ili mtu aangalie mzani kwa usahihi, sijasema ninaitumia hiyo simu wala sio mimi nimeianzishia uzi.
 
We jamaa niaje, sasa sindo nmekujibu kuna midrange bei around na hyo tecno and still zmekalisha hiko kimeo

Habari commision zimetokea wapi ? Wakiume ww ujue

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Boss tatizo la watanzania tunapenda kuwa na majibu yote,asaa una uhakika sijui 4k mzee hapa nilizungumzia bei rahisi ukilinganisha na simu inaweza fanya,mzee tv nayotumia ni smart yenye pure 4k,na nimeitumia muda mrefu....hapa ilikuwa ni urahisi na kuzingatia ubora wake ila sio kulinganisha na zenye majina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi point yetu ya msingi ni: Bei wanazouza Tecno ni bei za unyonyaji wakati kuna device zenye ubora kama (au kuliko) hata hiyo Camon X kwa bei rahisi.
Mfano: Nilinunua Xiaomi Redmi 6A kwa laki mbili na thelathini pekee na inafana (imeipita) vingi Camon X.

IMAG0616.jpeg
 
Ni kifaa cha mawasiliano.
Nilikuwa namtania jirani yangu mwenye tecno kwamba simu zao zinaweza kujipiga au kutuma pesa bila mwenye simu kujua.
Hatujakaa muda mrefu tunasikia simu inaita, kuangalia ni ile tecno imejipiga yenyewe kwa namba ya mtu ambaye yupo Uganda huko.
Ukishasema tu ni Tecno basi...hizo simu hata uzisifieje ni hamna kitu,mchina ni mchina tu.Tecno yoyote duniani unaweza ukalala usiku na kukikucha ukakuta imetuma sms yenyewe kwa mama mkwe wako I love you,ndo utakapojua mama mkwe anajua kuongea au la.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka picha zake na specs zake,sizifuatliag tecno

situmii techno mkuu ila katika cm za techno phantom 8 plus waliiotea nishaitumia kitambo

kwasasa nazkubali sim mbil tu galaxy s10 plus and google xl 3 kunamoja hapo natumia nyingine niliitumia kabla mashindano ya mitandaon hayasaidii weng wanasimliwa tyu
 
hilo s10 nasikia ni mashine zaid ya iphone x
 
situmii techno mkuu ila katika cm za techno phantom 8 plus waliiotea nishaitumia kitambo

kwasasa nazkubali sim mbil tu galaxy s10 plus and google xl 3 kunamoja hapo natumia nyingine niliitumia kabla mashindano ya mitandaon hayasaidii weng wanasimliwa tyu
Mkuu google pixel 3xl ipo fresh sana, shida bongo hamna huku ni hadi uagize nje
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui Simu mkuu! Omba ushauri kwanza.
 
Back
Top Bottom