Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Dah chief wewe hauko informed kabisa,kweli unatoa laki tano unanunua Techno???...Tena yenye Ram 3GB na ROM ya 32GB??.....Kama unataka simu bora na sio kwamba unanunua kwa sababu ya jina basi next time nakukaribisha nicheki nikupe muongozo wa simu ya kununua kutokana na thamani halisi ya pesa yako,laki tano kwa hiyo MediaTek device umejidhulumu pasipo kujijua mkuu.
Mzee mimi hiyo bei ni ya dukani,kenya wanauza 18,999 ila mimi niliipata used kwa 250,000 tu mtaani,sijawahi kununua smart mpya,maana simu ninazo zitaka hazipungui laki tisa kupanda juu siwez kutoa hela yote hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ungesema umepata used na sio brand new. Maana ww umesema kwenye uzi wako inauzwa 520k.
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unanunua simu yenye kioo 720p na ram 3gb mwaka 2019 kwa shilingi laki 5 na 30, tena unajisifia. Kwa style hii wachina watatukamua mpaka tukome.
 
Kwa maoni yako kipi kifanyike tuache kukamuliwa na wachina?
Kila mtu ana lawama na role ya kuplay, kuanzia serikali, wafanyabiashara hadi sisi watumiaji wa mwisho, serikali haina hata muda vitu vinaingia tu, havikaguliwi as long as vinalipiwa ushuru wao wanapokea tu, Aggrey sasa hivi kutafuta kitu kizuri unaweza ukakesha kila duka limejaa clone za brand maarufu.

Wafanya biashara nao wanaangalia tu faida, wapo radhi kufanya utapeli ili mradi wapate hela, wanawadanganya watumiaji ili vitu vyao viuzike.

Na sisi watumiaji hatujishughulishi kufahamu haya mambo, kwa utofauti wa elfu kadhaa mtu ananunua kitu feki na kuwapa motisha hao wafanya biashara ili watunyonye zaidi.

Kenya wenzetu wapo mbali sana, wananchi wana awareness kubwa ya hivi vitu, wana maduka/kampuni za online ambazo zinauza vitu officially toka kampuni husika na kusaidia raia wa kawaida.

Ilikuwepo jumia zamani ilijaribu kufanya hili duala hapa Tanzania ila ikashindwa mwisho wa siku wakaiunganisha na kaymu sasa hivi imekuwa kariakoo ya pili.
 
Changamoto sana

Naongezea,... Pia hatuna elimu juu ya madhara yanayoweza kusababishwa na bidhaa zenye ubora hafifu.
 
Tunajali gharama kuliko ubora,bila kujua gharama zitaongezeka uaipochukua kitu bora,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia wafanyabiashara wengi wanaangalia quantity badala ya quality. Na si kwamba watu hawapendi bidhaa original bali ni upatikanaji wake umekuwa mgumu kwenye store zetu ndio maana tunakimbilia kinachopatikana kiurahisi.
 
Back
Top Bottom