Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
kuna mshikaji wangu alinunua ipad huko zenji. kumbe imeibiwa kwa mtangazaji wa cnn. kudadadeki. dogo aliijiwa dodoma. afu alishaileta kwangu niijailbreak sijui nimuwekee vitu gani...
jamaa walimlocate dodoma ghetto anapokaa ambapo hata mimi ukinielekeza sifiki.
mwenye ipad alikuwa mkali kudadadeki chezea wazungu. alidai alipwe fidia la sivyo kesi iende mahakamani. polisi wakambeba dogo mpaka dar. akakaa lockup wiki wakampa laki saba fidia na kurudisha ipad ikawa settled. dogo akaachiwa. hana hamu na vitu used.
Nakutafuta kumbe upo huko ... Hebu cam this way bana huoni kibarid cha usubuhi usubuhi???
Mkuu hii kitu ipo namshukuru mungu amenisaidia sana maana jana niipata s4 yangu niliyokuwa nimeibiwa juzi pale Ubungo nilikuwa nashuka tu kwenye dala2 saa 11 alfajiri ili kupanda basi za mikoani jamaa walinizunguka mmoja kajarib kunichomoa wallet kugeuka nyuma sim sina ktk mfuko wa shati nikajua imekwenda nikapanda basi nikaondoka nafika Morogoro km saa 4 hivi nikapata mes ktk sim yangu nyingine niliyobypass no ya sim inayotumika ktk sim yangu ilibidi nishuke pale Morogoro nianze kufuatilia nikajarib kutuma tigopesa nikapata jina la yule bwana nikapanda hewani kumueleza akashangaa kishenzi kadai kuna washikaji wamekuja kwake kuijarib inshort niliinstal app inaitwa eset mobile security hii unasajili line yako tu mtu akitoa yako akaweka ingine sim inajibrock sametime inatuma taarifa ktk no yako uliyobypass pasipo yeye kujua no anayotumia na serial no ya sim yako pia s4 nayo ina program ya sim change alert hivyo ikabidi siku hiyo nirudi dar jana nikakutana naye jamaa kiulafiki kadai mdogo wake aliokota akamuuzia kwa 180000 ilibidi nimtoe 140000 maana alikuwa ni mjeda yuko pale mbagala kambi ya jeshi akanikabidhi sim yangu lkn naona hao vibaka wanawatumia hao wajeda ili wawalinde ktk dili zao
mpenzi niko mwanza. ila now niko kwenye basi nna kijisafari kidooogo... i will be home before xmas. i miss you my dear wife
kwa apple kuna huduma ya find my phone ambayo ni kama impossible kwa mtu wa kawaida kuweza kui bypass. ukiiba simu kwa kutumia ramani watakuona kila unapoenda.
kwa hizi galaxies huduma hii pia ipo ila sio impossible kui bypass kama unavyojua android ina matundu mengi tu hivyo ni rahisi kuchakachua
huyo dogo atakua hakubadili kitu hivyo ikawa rahisi kwa mwenyewe kuitrack.
Mkuu hii kitu ipo namshukuru mungu amenisaidia sana maana jana niipata s4 yangu niliyokuwa nimeibiwa juzi pale Ubungo nilikuwa nashuka tu kwenye dala2 saa 11 alfajiri ili kupanda basi za mikoani jamaa walinizunguka mmoja kajarib kunichomoa wallet kugeuka nyuma sim sina ktk mfuko wa shati nikajua imekwenda nikapanda basi nikaondoka nafika Morogoro km saa 4 hivi nikapata mes ktk sim yangu nyingine niliyobypass no ya sim inayotumika ktk sim yangu ilibidi nishuke pale Morogoro nianze kufuatilia nikajarib kutuma tigopesa nikapata jina la yule bwana nikapanda hewani kumueleza akashangaa kishenzi kadai kuna washikaji wamekuja kwake kuijarib inshort niliinstal app inaitwa eset mobile security hii unasajili line yako tu mtu akitoa yako akaweka ingine sim inajibrock sametime inatuma taarifa ktk no yako uliyobypass pasipo yeye kujua no anayotumia na serial no ya sim yako pia s4 nayo ina program ya sim change alert hivyo ikabidi siku hiyo nirudi dar jana nikakutana naye jamaa kiulafiki kadai mdogo wake aliokota akamuuzia kwa 180000 ilibidi nimtoe 140000 maana alikuwa ni mjeda yuko pale mbagala kambi ya jeshi akanikabidhi sim yangu lkn naona hao vibaka wanawatumia hao wajeda ili wawalinde ktk dili zao
kuna mshikaji wangu alinunua ipad huko zenji. kumbe imeibiwa kwa mtangazaji wa cnn. kudadadeki. dogo aliijiwa dodoma. afu alishaileta kwangu niijailbreak sijui nimuwekee vitu gani...
jamaa walimlocate dodoma ghetto anapokaa ambapo hata mimi ukinielekeza sifiki.
mwenye ipad alikuwa mkali kudadadeki chezea wazungu. alidai alipwe fidia la sivyo kesi iende mahakamani. polisi wakambeba dogo mpaka dar. akakaa lockup wiki wakampa laki saba fidia na kurudisha ipad ikawa settled. dogo akaachiwa. hana hamu na vitu used.
Hivi wakuu ukiiba simu ambayo imewekewa hizo app za kutrace, hafu uka-root/format/factory reset/jail break bado watakunasa tu?
jamani mm nillivamiwa like one month ago. wakaiba vitu vyangu vingi ikiwemo s3 na bb. mm nilipuuzia nikaona itz gone. ilavjananimekutana na askari akanishauri kuna kitengovcha polisi kwa kushirikiana na service provider wa mtandao wanaweza kui trace cm hata kama wanei flash! leo naenda kuanza mchakato nitarudi na feedback eapendwa maana jamaa kanitia moyo sana
Kimsingi Police kuna kitengo cha 'Cyber crime', ni kwa bahati mbaya si wengi wanakitumia. Kwa wao wanahitaji 'serial number' ya simu au namba ya sim card yako uliyotumia mara ya mwisho.
Kitendo cha mwizi kuiwasha tu simu wanaweza kujua yuko wapi, na baada ya hapo wanaweza kumtumia mtu mwingine awasiliane naye ili kumkamata.

Sijawahi sikia mtu kafanikiwa through hii kitu. Police yetu bado wako chini sana katika mambo ya Technology. Ila ngoja mkuu hapo atuletee report baadae...
Mkuu sio polisi ya tz,mi menyewe yalisha nikuta nikaenda hadi makao makuu ya police kwanza kuipata hiyo barua ya kupeleka kampuni ya simu ni miezi 2,bado huko hadi niliamua niingie front mwenyewe na nikaipata simu yangu.