Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,240
- 88,154
Hapana mkuu..Unataka watoto wa kike waache kuridhisha waume zao?
Hapana mkuu..Unataka watoto wa kike waache kuridhisha waume zao?
Ha ha ha haMkuu nisamehe kwa kutaka kuwakatishia utamu ila hivi vitu ndio vinaleta mtatizo. kwanza hayo mambo ya kuridhishana/mauno hayana formula huya yanakuja tu automatically mzuka ukipanda.
Tufanye nini ili mila hii isipotee