Technology ya kukata viuno inapotea

Sie tunaotoka maeneo ya ukanda huu wa pwani Tanga, Zanzibar na mtwara ni ajabu Sana mtoto wa kike asiejua kukatika kitandani hizi mira za unyago bado zipo sana ila kwa sasa wameadvance zaidi wanafanya kipindi Cha kujiandaa na harusi mwezi mmoja kabla Bibi harusi mtarajiwa anatiwa kambini na wabobezi wanapewa darasa kunakua na wamama mahususi aka wahenga wanafunza kila kituu jina lengine wanawaita SOMO.
Hawa masomo inabidi wapewe heshima nawatambulike kwenye jamii ili kulinda huu utamaduni
 
Unafikiria kuendeleza mila watot mafunzo wafikiriwe malipo stahiki ili wapate moyo wa kuendelea na kazi?

Wazazi ndio watoa mafunzo wakuu wa mila na tamaduni, hivyo hawatahitaji malipo. Walimu wao wanatoa support service tu mfano kupitia mwalimu wa nidhamu hili jukumu nalo halihitaji malipo ya ziada
 
Wazazi ndio watoa mafunzo wakuu wa mila na tamaduni, hivyo hawatahitaji malipo. Walimu wao wanatoa support service tu mfano kupitia mwalimu wa nidhamu hili jukumu nalo halihitaji malipo ya ziada
Hii shughuli hud fanyika kambini mama yako hawezi kukufunza haya
 
Tatizo watoto wengi waliopelekwa kuchezwa huwa wanaishia na mimba au kuolewa wakiwa wadogo maana sharti la mafunzo ni vitendo bwana. Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno

Unataka watoto wa kike waache kuridhisha waume zao?
 
Enzi zetu mtoto wa kike alipelekwa unyagoni na kufundishwa mambo ya ndani. Sikuhizi watoto wabapelekwa boarding school hata mambo ya kuchezwa yanapungua.

Luna umuhimu wa kuendeleza mila hii?

Kweli bana mademu wengi wamekuwa magogo kitandani dah
 
Viuno vya kumridhisha mwanaume si mpk kufundwa kuna wengine makwetu hazipo hizi mila za unyago lkn kitandani mwanaume wa kg 70 unambembeza na kumdundisha km kitenesi, inakujaga automatically hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo wanaume wengi sikuhizi uzito unaanzia kilo 90-120 na anataka apaishwe. Balimi hazijawahi kumwacha mtu salama.
 
Back
Top Bottom