"for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
Hayo ni maneno tu ya watu coz nina friend wangu, kamuoa mmachame na wanaishi poa tu mbona.
1st ... I dont like your heading.
2nd...dont be brainwashed.have your own decision.
Mh jamani mbona mwawaandama sana,wmachame kwani wamewakosea nini? Ayo yote unayoyasikia ni historia ya miaka mingi sana ilopita,awana shida kiongozi ila jua tu ni wapenda maendeleo sana, na huwa upuuuuzi awapendi ndicho kitu kinachowafanya waonekane wakorofi
Atakuua muda si mrefu ,wale mm nawafahamu ni wanaume part two!asili ni asili ww kwani kabila lako hamna wanawake!
Sasa ifikie tuache masuala ya Machame! Naona imekuwa too much. Despite of all these critisms lakini soko lao bado linaonekana liko juu kuliko wanawake wote. Hata mimi ninampango wa kuchukua hukohuko!!
Ukweli tabia ya mwanadamu inaathiriwa na vitu vingi sana; 1. Mazingira aliyokulia mtu yanaweza kuwa na athari kwa kiasi fulani hususani akiwa mdogo hapo nipo kipindi mtu hupokea mafundisho na kuzingatia kam amri kumi za Mungu. 2. Elimu, hii inaweza kuwa ya dini au ya dunia. Sijui kama kuna ukweli eti kuoa wanawake waliopandisha kidato kihivyo sometimes ni shughuli pevu. Elimu ya dini humsaidia kumshape mwanamke awe mtii na mnyenyekevu kwa mumewe sana na mafundisho mengine ya kiroho ambayo yatamfanya awe mama bora mwenye hofu na Mungu. 3. Malezi. Hapo napo ipo shida kwani malezi yanatoautiana baina ya familia na familia. Kuna kipindi malezi huleta athari za kisaikolojia kwa watoto. Sasa unachotakiwa ni kupima jinsi mke wako anavyo behave kisha uone je kuna ukweli na hayo unayosikia? Epuka yeye kujua unamchunguza hutapata majibu muafak."for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
Jamaa katanguliza prejudice."for every general rule there is an exception" kwahiyo siyo lazima kwa sababu mwanamke fulani ni mmachame basi lazime atakuwa na tabia za kimachame. Tabia ya mtu wakati mwingine inaathiriwa na mazingira anayoishi au mahali anapofanya kazi.
habari ndugu zangu...binafi nina mchumba wa kichaga mmachame....sasa rafiki zangu wananitahatharisha sana...ila binafsi sijaona mabadiliko yoyote tangu tuwe pamoja miaka 3 iliopita..
Niishaurini dalili za awa wanawake wa machane endapo wanataka kunipindua...kwa mtu mwenye kipato cha wastani kama mimi