'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano GENTAMYCINE nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu GENTAMYCINE ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.
Simba kwa mara ya kwanza kwenye mashindano imekutana na timu yenye kiwango cha timu ya makundi caf champions league
 
Maandalizi wapi,mmezoea kunyunyiza midawa wachezaji wa timu pinzani walegee.
 
Timu ukiipress kidogo tu wanajiharishia na kuomba kutoka, wachezaji wana vipaji lakini technically wako vibaya sana. Magoli yote Yale ni makosa ya kujirudia, Sasa hivi timu zenye akili hazitupi muda wa kucheza yaani wanakuja juu hasa dakika za mwanzo, huu ni udhaifu mkubwa ambao Kwa wenzetu unafukuza kocha na kutimua Vimeo vyote.
 
Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano GENTAMYCINE nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu GENTAMYCINE ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.
Wewe sasa ndiyo mdogo wangu GENTAMYCINE The King! Umetema madini, halafu umetulia zako. Hakuna kumtukana mtu wala nini. Binafsi ninajivunia sana kuwa na mdogo jiniazi kama wewe.
 
S

Sasa Leo umechambua kimpira ile mihemuko Yako ya kizanaki utigiri bhutyama😂
Ulichokisema Mimi mwenyewe nimekiona japo kwenye football Kuna maajabu.
 
Mimi sio mtabili wala sio mchambuzi, ila
Simba atakua bingwa mpya wa kombe ya Shirikisho la Afrika jumapili 25-5- 2025.

Sababu zangu ni hizi:

-Baada ya kuangalia mechi ya kwanza huko Morocco,nimegundua RS Berkane sio wakali sana kuwazidi sana Simba,kama walivyokua wanaogopwa.Simba ameshacheza na timu ngumu zaidi ya RS Berkane,mfano Al Ahly na akazifunga nyumbani na zenyewe zilishinda kwao.

Sababu zangu kwa Nini Simba atabeba kombe ni hizi:

- katika mchezo wa Morocco RS Berkane hawakuweza kupata magoli zaidi ya mawili kwao,magoli waliyopata ni kutokana na
Goli la kwanza mpira
-Mpira uliokufa(Kona)Sikuona goli la ufundi wa kupangua mabeki wa Simba na kutupia mpira golini,

-Goli la pili
(Kagoma) alianguka Kwa bahati mbaya wakati alikua tayari ana mpira na ndipo mchezaji wa Berkane akaunasa na kupelekea kufunga,ukweli kama sio Kagoma kuanguka ulie mpira ungeokolewa na kupelekwa upande wa Berkane.

- RS Berkane walipata magoli Yao wakati Simba wakiwa hawajajipanga vizuri,
ndani ya dk 17 walikua wameshapata goli mbili.

Baada ya hapo, dk 28 za kipindi Cha kwanza na dk 45 za kipindi Cha pili chote RS Berkane hawakuoata goli Tena.

Kwa kipindi chote kilichobaki Cha dk 73 RS Berkane walidhibitiwa na Simba na hawakupata goli lolote,hii inaonesha Simba waliweza kuwadhibiti, tofauti na watu wengi waliodhani kuwa,Simba atafungwa nyingi.

Hii inaonesha kuwa ,Simba waliwamudu, Berkane sema tU, walipata faida ya kucheza kwao.

Hivyo ndivyo nae Simba Sasa atapata faida kama hiyo ya kucheza,na uzuri Simba hua anajua kutumia nafasi hii.

- kama mjuavyo mpira wa Afrika na hususani timu za kiarabu pamoja na kuujua mpira lakini pia huweza sana kucheza mpira nje ya uwanja,
(Fitina za soka),hivyo matokeo makubwa aliyoyapata Berkane dhidi ya Stellenbosch ni kutokana na ugeni na uchanga wa Stellenbosch katika mashindano ya Afrika,maana yangu ni kwamba Kuna namna RS Berkane waliwazidi Stellenbosch nje ya uwanja na hata Kwa sababu ya ugeni wao.

- RS Berkane aliweza kumfunga CS Constantine akiwa Morocco goli nne kwa sababu kama hizo nilizotaja za mpira wa kiafrika za mchezo machafu nje ya uwanja,lakini waliporudiana CS Constantine akiwa kwao, RS Berkane alifungwa goli moja bila,
Hapa utaona RS Berkane alishindwa kuonesha umwamba wake wa kupiga goli nyingi,alidhibitiwa vyema na CS Constantine.
Simba tulimfunga CS Constantine,tukaongoza kundi,kama ingekua ni mtoano tungemtoa.

Simba tulimfunga Constantine goli mbili,
Constantine alifungwa goli nne na Berkane,
Mechi ya pili Constantine akamfunga goli moja Berkane,
Simba tulifungwa goli mbil na Berkane,
Berkane anafungika,
Mechi ya pili Simba atamfunga Berkane.
 
Bange / Bangi ni mbaya sana kwakweli.
 
Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano GENTAMYCINE nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu GENTAMYCINE ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.
Sasa si utulize wasiwasi wako. Kwani unacheza wewe?
 
Back
Top Bottom