Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
- Thread starter
- #81
Hata hilo kombe la mabati linawaumiza?Labda exposure ya kubeba kombe la mtofyo (aluminum)View attachment 3354944
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Serikali ni nini?Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi![]()
Don't you know that the government is juridical person who is also binds to the law?Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi![]()
USA ipo hapa ilipo baada ya aman kupotea kwa muda mrefu..maendeleo hayaji kwa kuigiziana kutunza aman huku wachache wakiambatana na wachawa wakifurahia keki ya taifa
Kwahiyo watu waogope kuibua maovu mnayofanyia wananchi kisa mna mkono mrefu? katika huo mkono mrefu wewe ni ukucha? unaenjoy watu wanavyouawa na kuteswa ndani ya nchi Yao?Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi![]()
Uko sahihi kabisa. Hakuna mtu au mbwa yoyote dunia hii iliishawahi kuwa juu ya Serikali. HAKUNA! Mwenye mfano alete!Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi![]()
Na watu wamemkataa mteule waoNimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
Kati ya chepes kushindana nacho ni serikali nikwambie kupitia nguvu ya watu ni suala jepesi sana mfano ukiwa kama Mwanza ukifuatwa na police unapiga mwanzo kila raia atatoka nje na mkuki, panga ama shoka ili kuitikia mwano safi kabisa lakin ukiwa dar umekwishaKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli

Na bila haki?