Technically, huwezi shindana na serikali, never

Technically, huwezi shindana na serikali, never

As long as itapelekea kulinda aman ya nchi ....sio mbaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wa kiume wewe hebu jikaze basi, mbona unaandika vitu mchele mchele. Amani, amani, amani ya nyokooo. Watanganyika wangapi wamepotezwa kwa kusema na kudai haki yao ya msingi iliyopo kwenye katiba. Freedom of Expression ni haki ya kila raia wa Tanzania na Tanganyika lazima uelewe hilo. Kila mtu ana haki ya kukataa maovu kwenye jamii yake kama alivyofanya Gwajima, hakuna anayeshindana na serikali kwa maana serikali ni watu na watu ndio serikali. Fungua bongo zako.
 
Hiyo ingekuwa kweli basi hakuna serikali ambayo ingewahi kupinduliwa duniani!
 
We jaamaa Ni mpumbavu.

Hoja yako Ni kwamba hakuna mtu anae weza kushindaa na serikali, mtu anakujibu zipo nchi nyingi raia walipo choshwa na serikali walipindua serikali unakuja unasema et "upo tayari Aman ya nchi ipotee" hizi Ni akili au taka taka.

Jibu: Nikweli Wananchi wanauwezo wa kupindua serikali na serikali Haina cha kufanya no matter what kitatokea iwe damu itamwagika ua laah.!

Kwani mtoa mada kwaio viongozi wa SERIKALI wana uhalali wa kudhurumu uhai wa wanachi (kuteka na kuua)

Nani anaye hatarisha amani ya nchi Kama sio viongozi waroho wa madaraka, mafisadi.



We jaamaa wewe jitafakari
 
Watakachokuja nacho baadae baada ya huo msako ni kumsingizia kuwa wamemkuta na madawa au kitu chochote haramu..
Stay tuned.
Unayumishia msuli gavoo ww ww haya halafu upo kwa dini huku ulitia sain dini haiendani na siasa sijui jibu ni lipi hapo
 
Sometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
If mwaka 2011, egypt wananchi kuingia mtaani baada ya serikal iliyoukuwa onevu na gandamizi kwao, mabadiliko yasingefanyika

Unyonge unawawezesha wenye mamlaka waone hakuna wa kuwagusa, hivyo hawatokiwa kwa ajili ya wananchi bali kwa ajili ya faida zao

Wanatakiwa wakumbushwe mwananchi ndio mwenye mamlaka
 
Kwani serikali ni kitu gani zaidi ya kuwa ni dola kubwa lenye maguvu mengi? Mind kuwa pamoja na maguvu mengi hu deal na kiumbe mdogo anayeonekana ni tishio kwa maslahi yake. By the way serikali ni kitu kidogo sana tena delicate kudondoshwa na kitu kidogo ndio maana inakomaa na kiumbe mdogo asiangushe.
 
Soma historia ya Romania.
Ceacescu aliyekua rais na mke wake aliyekua makamu wa rais hawakuanini macho yao.
 
Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli

Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........

Kama unalima...wewe endelea kulima.....

Amani ya nchi.....let be our priority

***Hatuchezi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Manara alishasema yanga hamna akili. Sasa wewe utopolo unaendelea kufanya wenzio waendelee kuoneka hamna akili kwelikweli.
 
Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli

Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........

Kama unalima...wewe endelea kulima.....

Amani ya nchi.....let be our priority

***Hatuchezi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umerogwa lini
 
Back
Top Bottom