Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,438
Thesis na antithesis: sawaSometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Thesis na antithesis: sawaSometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa ili amani iwepo lazima wenye mamlaka waitengeneze kwa kututawala kwa haki na usawa.. Wala hutoona wala kusikia vurugu kamwe. Ila kwa sasa huwez kunambia nisidai haki yangu wakati kuna ndugu zangu wamepoteaSometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Taka akilin mwako pamejaa mavi matupu ,ulienda chuoni akaacha akili ukaondoka na kinyesi?Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Watakachokuja nacho baadae baada ya huo msako ni kumsingizia kuwa wamemkuta na madawa au kitu chochote haramu..Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwann wasiende kuripot mamlaka zinazohusikaAmani ya nchi iianzie ngazi ya familia I mean wale wanaoteswa na kukandamizwa wawe huru
Naomba niishie hapa!
Kuna styles zishazoeleka, watu walitabiri kitakachotokea, and that's it.Watakachokuja nacho baadae baada ya huo msako ni kumsingizia kuwa wamemkuta na madawa au kitu chochote haramu..
Stay tuned.
As long as itapelekea kulinda aman ya nchi ....sio mbayaSiasa ni maisha ya mtu so cool siasa itakufata hadi kwenye hicho kitanda cha kunguni nao watamuliwa na wanasiasa wakuume hadi uamke useme rais kunguni wamekuwa janga
sahihi kabisa na wao ndo wanaweza kuitoa serikali wakitakaNimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
Technicaly unaweza, but lazima uwe na immense resourcesKwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile tunabebana lkn kama serikali inge apply Sheria Kila angle basi ingekua hatari .........
Kama unalima...wewe endelea kulima.....
Amani ya nchi.....let be our priority
***Hatuchezi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndyo serikali ni watu ambao wameweka miiko yao ili waendelee kuitwa watu na serikali na si kuvuruga vuruga watu wengine.Nimekudharau mwananchi mwenzangu.
Serikali ni watu,
Na huu ndio ukweli mchungu, kuleni ugali wenu na mandondo mlale wanawane. Serikali ni serikali.Pale mwajiriwa anapomtambia mwajiri.Kila nikitazama naona tupo Urusi
Sasa unaonaje ungewashauri wenye mamlaka kufuata misingi ya utawala bora na haki sawa kwa wote. Ili pasiwepo na raia anayedhulumiwa haki yake..Sometimes it's better kuwa mnyonge mkuu......mambo ya kupambana haki ndo yanasababisha kuvuruga utengamano
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app