Safari yake ya kisiasa imekwisha akamalizie maisha yake kanisani kwake haya mambo anayoyatafuta ndani nchi hii yatammaliza sijui kama anaelewa maana ya ile rangi nyeusi kati kati ya bendera ya Tanzania.Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
soon, mtamjua Mr TanzaniaAlishajua outcome na usizani alikurupuka, wait and see
Mgonjwa wa ukimwi kanywa sumu.Mpina je?.
Gwajima ni next level ccm ni ziro brain atawavua nguo subiriniAskofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
Kwani kabla ya kuwa mbunge alikuwa anaishi vipi?Askofu ataanza kuishi kwa matamko na press ili aendelee kuwa relevant
Ndugai alikuwa amejipanga?Alijua anafanya nini na alishajipanga for outcome. So hii sio suprise kwake
P Wahi jimbo liko wazi Kawe.Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
Ajiandae na mizengwe ya usajili wa kanisa lake...Gwajima angekuwa safe akiwa CCM kwa sasa kulikoni kuwa nje ya CCmAskofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
Kweli kabisa wanasiasa sio watu wa kuwaamini kabisaall is possible!
X4Nileteeni Gwajima 😂😂
unaumia ukiwa wapi mkuu?Kwani kabla ya kuwa mbunge alikuwa anaishi vipi?
Kosa lake kupinga ufisadi, ni msomi anayesimamia kile anachokiamini, unadhani hakujua hayo uyasemayo? hata hivyo hana cha kupoteza.Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
Nani atamtangaza mshindi? Hata lile Kanisa lake linaweza kupigwa nyundo akabaki kwake akila pensheni ya ubunge wa One-term 2020-2025 (WANTAM)Ila bado Ni potential candidate akiwa chama pinzani kwenye fair election!
Na akiamua kukomaa na CCM, atarudi kwa kishindo 2035, kwani 2030 bado mama atakuwa kweye madaraka ya chama
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app