Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

Status
Not open for further replies.

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,890
43,782
Kutokana na kanisa hili kuendesha mikutano ya siasa (na kupiga umbea) badala ya kufanya ibada ya mafundisho ya yesu;

Je, ungependelea kanisa hili lifutiwe usajili ili kuepuka uchochezi zaidi wa kisiasa unaopelekea kufukuzwa kazi baadhi ya mawaziri serikalini?
Piga kura

Tahadhari: Zaidi ya 60% ya wachangiaji kwenye huu uzi ni 'New member', hii inamaana ni mtu mmoja kafungua ID nyingi; maoni yake yapuuzwe.
 
Kutokana na kanisa hili kuendesha mikutano ya siasa (na kupiga umbea) badala ya kufanya ibada ya mafundisho ya yesu; je, ungependelea kanisa hili lifutiwe usajili ili kuepuka uchochezi zaidi wa kisiasa unaopelekea kufukuzwa kazi baadhi ya mawaziri serikalini?
Ikibidi lipewe muda wa kudumu maana ni zaidi ya usalama wa taifa. Mambo ambayo wenye dhamana hawayajui, lenyewe linafukunyua.

Au na wewe hutumii cheti chako cha form four?
 
Kutokana na kanisa hili kuendesha mikutano ya siasa (na kupiga umbea) badala ya kufanya ibada ya mafundisho ya yesu; je, ungependelea kanisa hili lifutiwe usajili ili kuepuka uchochezi zaidi wa kisiasa unaopelekea kufukuzwa kazi baadhi ya mawaziri serikalini?
Piga kura kwa kubonyeza kitufe cha 'NDIO' au 'HAPANA' hapo juu.
Taja hao mawaziri waliofukuzwa kwa sababu ya hilo kanisa.
 
Kwanza kabisa yale makanisa yanayojiita main stream (Katoliki, Anglikana, Lutheran, SDA, AIC, Monravian etc) yametuangusha sana kwa kutokukemea utawala huu kwa madhila yake. Uhuru wa habari unaminywa, upinzani unaminywa, watu wanafoji vyeti kimya, silaha zinatolewa hadharani tena mbele ya kanisa lao maarufu still wako kimya!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom