Tech & Gadgets: Jukwaa linavyozidi kupoteza Threads zenye mvuto na old members 2015

Tech & Gadgets: Jukwaa linavyozidi kupoteza Threads zenye mvuto na old members 2015

na huo utaalam wa kutaka kujua vitu ambavyo havina maana ndio vimeua jamiiforums
Kama hujakurupuka thibitisha, Jiulize kwanza unaanzisha mada inakuwa na post mbili views elfu moja..... Hao views ni akina na wamejifunza nini kupitia mada yako?
 
Kama hujakurupuka thibitisha, Jiulize kwanza unaanzisha mada inakuwa na post mbili views elfu moja..... Hao views ni akina na wamejifunza nini kupitia mada yako?

hahahahahahahaha cjawai anzisha mada ikawa na post mbili kwenye view sikatai la wadau wamepotea video inaonesha chenga we unazani hao views utawapata?
 
Mkuu hiyo mada ni nzuri na ni bora na watu wengi wamejifunza kupitia hiyo, ila sasa leteni mpya!

Kwa nini galaxy s6 ni bora kuliko iPhone 6?

Tunataka shule yenye msingi, sisi wengine hatuna utaalamu wowote ule kuhusu tecnojia ila tukipitia hapa tutakuwa wataalamu huko mitaani!

Mkuu,

Nikae naandika Ipi ni bora kati ya iphone 6 na Galaxy S6, wakati wanaomiliki hizo simu Tz ni mtu mmoja kati ya watu 10,000 kuliko kuandika maswala ya Calculators wanazotumia Watoto/wadogo/ndugu/jamaa zako walio wengi?

Sio jambo baya kukaa kuelezea hivyo, lakini unaposema nilete kitu kipya na watu niliona wanaendelea kuibiwa Madukani wakienda kununua hizo divice ni wengi.

Na hiyo shule yenye msingi unayoizungumzia nashindwa kuielewa ni shule ipi mkuu, wakati maelezo mengi yalikuwa yanatolewa sana humu tena kwa moyo wote, lakini now things have changed alot alot sana.

Mambo mengi sana yanavunja moyo.

Wengi kujifanya wanajua mambo na Undava kama aliosema bro pale juu, chuki zisizokuwa na msingi nazo zinatawala pia, inafikia hatua mpaka mtu unaomba ID Vanquish lakini kwasabu ni server side hapo linakuwa suala linaloleta utata, ukiomba permanent ban bado unakuta notifications kibao, snipa snipa where are you, mtu unaona bora uiache tu active.

58.jpg
 
Kichwa e2themiza kasepa kimoja, munjy1 pia kasepa, Paje anachabo mara moja moja ila hachangii siku hizi.

ni kweli aisee nikikumbuka hata mm kabla sijajiunga rasmi jf nishakuwa naperuzi huku zaidi ya 3yrs ndio baadae nikaamua kujiunga na jukwaa ambalo nilikuwa naperuzi ni hili.
aisee kweli Paje kapotea mazima namkumbuka.sana kipindi cha internet ya guru.

tatizo letu humu wengi hatujui kitu lakini wataalamu wanapojitolea kuweka mambo kuna wengi wanatokea na kuanza kupinga tena kwa kashfa na matuzi na zarau kubwa wakati watu wanakesha na kuumiza kichwa ni vipi wanaokoa jahazi la wana jf wengi wataalam wakakata tamaa mkuu kama @munjy 1 sasa hivi baada ya kutusiwa sana na kutukanwa juu ya vile visumbusi kaamua kuliendeleza upande mwingine kimya kimya.

tatizo wengi kujua kwingi mwisho wa siku wenye uelewa wametuacha wakiwa
 
Last edited by a moderator:

snipa,mavoko,mwl.ni ukweli usiopingika kuwa hadhi ya jukwaa limeshuka na kushuka kwenyewe ni kwa wachangiaji kukosa utashi na ustaarabu. katika majukwaa yote hadi mwaka jana hili lilikuwa jukwaa lenye watu wastaarabu wenye kujibishana kwa hoja na evidence hadi mtu akaelewa. leo hii jukwaa limekuwa la mipasho na hata inapita wiki hakuna mada ambayo ni ya kufikirisha vichwa. asante snipa kwa kulileta hili
 
Existence of grop za wasap ni tatizo tena
 
Pangelikuwepo na jukwa maalum kwa Wenye matatizo na misaada mbalimbali ili kupunguza kero na Majukwaa ya kuelimisha yakazidi kutoa mafunzo.
Ni mtazamo wangu tu.
 
CHIEF MKWAWA bado yupo na ni MSAADA sana kwakweli... Mara kadhaa nime m PM na nimejibiwa vema kabisa. Shukrani kwake
 
Last edited by a moderator:
I miss old days za hili jukwaa ,, hili jukwaa lilikiwa kina hadhi yake ya kipekee na kiubunifu, kulikuwa na e2themiza mzee wa internet tricks, chief mkwawa yupo kitambo mtaalam wa simu mpaka sasa, good guy, njunwa, mwl rct hata muanzisha thread,,, I really miss those days jukwaa katika ubora wake
 
Hili jukwaa la "Tech,gadgets and science forum" lilitakiwa kuwa na sub-forums ndani yake.
 
Back
Top Bottom