Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,548
Reaction score
89,516
Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani.
1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)
  • Marekani imewekeza mabilioni kupitia CHIPS Act ili kurudisha utengenezaji wa semiconductors ndani ya nchi.
  • China nayo inaweka pesa nyingi kwenye R&D ya AI, quantum, na chip design (Huawei, SMIC, Baidu, etc).
  • Lakini kuna "chess move" ya kimyakimya inayoendelea.

2. Wachina wa Diaspora Wanaongoza AI ya Marekani Mifano Hai:
🔹 Nvidia CEO: Jensen Huang (Mzaliwa wa Taiwan)
👉 Kampuni hii ni msingi wa AI kote duniani (ChatGPT, Tesla, Meta, nk).

🔹 AMD CEO: Dr. Lisa Su (Taiwanese-American)
👉 AMD sasa inashindana na Nvidia kwenye chips za AI na server processors.

🔹 Broadcom CEO: Hock Tan (Mzaliwa wa Malaysia, asili ya Kichina)
👉 Anasimamia kampuni inayochangia vifaa vya msingi vya AI na mtandao.

🔹 Scale AI CEO: Alexandr Wang (Mtoto wa wazazi wa Kichina kutoka New Mexico)
👉 Kampuni muhimu inayofundisha data ya AI kwa Pentagon na Silicon Valley.

Je, USA Inawategemea Wachina Kujenga Silaha za Kidigitali dhidi ya China?
Nimepitia kwenye mahojiano mengi sana kwenye vyombo vya habari nimeona Wachina wakiwa wanaongea na kuiwakilisha USA kwenye Tech.
Guys what is going on here?

Kwenye Siasa na Serikali ya USA wamo wengi tu.
  • Michelle Wu Meya wa Boston
  • Karen Goh Meya wa Bakersfield, California
  • Judy Chu Mbunge wa California
  • Grace Meng Mbunge wa New York (NY‑6)
  • Susan C. Lee Secretary of State, Maryland
  • Fiona Ma State Treasurer, California
  • Betty Yee State Controller, California
  • William Tong Attorney General, Connecticut
  • Kimberly Yee State Treasurer, Arizona

Huu ni mfano tu lakini mpaka na shangaa Trump anashindana na nani?
 
Naendelea kuweka orodha hapa:
  1. Eric Yuan Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Zoom Video
  2. Lip‑Bu Tan Mkurugenzi Mtendaji wa Intel tangu Machi 2025
  3. Sun Hongbin Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Sunac
  4. Mr. Liu Mmiliki wa Standard Austin, kampuni ya kusimamia nyumba za watoto
  5. Weihong Hu Waendelezaji wa hoteli na mali isiyohamishika New York
 
Tianqiao Chen: mwanzilishi wa Shanda Interactive. Kupitia Shanda Asset Management, amewekeza karibu 198,000 acres za misitu na ardhi ya miti Oregon

Sun Guangxin: mdhibiti wa projekt za nishati. Kupitia mashirika kama Brazos Highland Properties na GH America Energy, ana miliki ya ardhi zaidi ya 140,000 acres

WH Group (Shuanghui Group): Kampuni kubwa ya kilimo/uchinjaji ya China, iliyo milki ya Smithfield Foods iliyko 146,000 acres.
 
Screenshot_20250529-171229~2.png
 
Kama ni kweli basi hao wachina kwa nini wasifanyie kwao.
 
Back
Top Bottom