TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

Kwanini team Lowasa na watu wengine wapenda rushwa na ufisadi wanamuogopa sana makongoro?
 
hivi lohasa yale mamilioni anayotumi kununua watu atayarudishaje? ccm mnataka kumchanganya lowasa.
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.


kwa propaganda uko vizuri,unamdanganya nani hivyo jipande mchuono si wa kawaida lipo jembe moja tu, watu watatafutana .
 
Tabia na nyendo za lowassa zinafanana sana na tabia na
nyendo za kunguni....mdudu Huyu hujificha sana wakati wa mchana ngoja Giza liingie tayari huanza kunyatia windo lake huku akifichwa na giza....hashibi na hatosheki hunyonya kila apatapo fursa...mjanja na mwepesi
kujificha.....utabaki kuhisi umeng'atwa lakini anayekung'ata humuoni...kesha sepa....vivyo hivyo tunamuhisi lowassa ni fisadi lakini hakuna ushahidi wa kumpeleka kwa pilato...zinabaki ni hisia tu na tuhuma kuzithibitisha.. ni ngumu...
.namchukia kunguni na yoyote mwenye tabia kama za kunguni..
hata bure lowassa hafai
 

Kumbe we team makongoro...basi sawa shabikia makongoro...ila ujue tu kuwa uraisi sio sio sawa na ukocha wa mpira wa pete..
 
Njaa mbaya jamani, yaani mtu na akili zako kamili unathubutuje kuandika huu upuuzi hapa:

Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa
 
hakuwa kwenye main streem so uwezi kujua mabaya yake mkuu
 
Mungu ndiye ajuaye Rais wa Watanzania. Iwe Makongoro sawa. Ila kwa fisadi Lowasa haitakuwa sawa na Mungu anatuona na anajua nini tunahitaji

Unasema Mungu ndiye anajua halafu unasema Lowasa hapana kwani ushageuka kuwa mungu?
 
Watanzania walio wengi bado sana mkuu kwa hili jina tu la Nyerere ccm watapata pa kusimamia.

Zaidi ya kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha kwa tiketi ya NCCR - Mageuzi na ubunge wa East Afrika hana rekodi yoyote ya zaidi. Halafu leo hii tunampeleka moja kwa moja awe rais wetu. Litakuwa jambo la ajabu sana.
 
Mzee mamvi mangemfikiria aje amrithi Makonda
 
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

At least makongoro kuliko huyo lowasa, mi kiongozi akishakuwa na kashfa tu either ya kusingiziwa au lah uwa sina hamu nae kabisa
 
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!

Ni kweli..
 

When i see makongoro, i see the late mwalimu nyerere, siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka tu, nadhani anastahili, kuliko huyo anayeshinda kutwa kugawa rushwa ili achaguliwe, sasa kama mtu ata ikulu hujaingia unaanza ku promote rushwa, akiingia ikulu si ndio itakuwa balaa?
 
CCM ni wakulima na wafanyakazi,sasa wenye mlengo mwingine ni vizuri kuanzisha chama na sera.mbona mko huru kusajiliwa, au mzee wa kigoma atawapokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…