Team wapenda wanawake warefu tupeane uzoefu.

Team wapenda wanawake warefu tupeane uzoefu.

Ange Kagame (next to Michelle Obama)

1024px-President_Barack_Obama_and_First_Lady_Michelle_Obama_greet_His_Excellency_Paul_Kagame%2C_President_of_the_Republic_of_Rwanda%2C_and_his_daughter.jpg

Unataka upigwe kuliko FDLR?? Gusa hapo
 
Binafsi mwanamke akiwa chini ya Ft 4 hata kumwangalia simwangalii, hata awe na inyee kama Tv ya kichogo aahh wapi. Hata awe na vibastola aahh wapi. Binafsi napenda FT 5 kwenda juu, asiwe na mwili jumba bali awe na mwili mwili kimtindo. Mpododo angalau uwepo wa kiani ila hata akiwa na inye siyo mbaya mimi burudani. Mwanamke mrefu apande kwenye daladala siti zikiwa zimejaa nitasimama kumpisha. Mfupi ampishe nani, thubutuuu!!!
Kama hapa MMU upo mwanamke mwenye sifa hizo, bila kujali umri ni PM japo kesho siku ya nane nane nikutoe lunch pale Salender Bridge Club. Kuna mkonyi wa kuku, Makange ya sato na kuku.


Hivi si ni wewe Msandawe Halisi ndiye ulikuwa unamsifia Lulu (futi 3 something) kuwa ni mrembo na ungependa kumgegeda, au ulijisahau? Unataka kutuambia hata msukule wa Wema (Aunt Ezekile futi 4'8) kwako si kitu, Wastara je?
 
Back
Top Bottom