Team wapenda wanawake warefu tupeane uzoefu.

Team wapenda wanawake warefu tupeane uzoefu.

Najaribu kufikiria kama Rwanda na Burundi ingelikuwa bado ni mikoa ya Tanzania...

Loh!!!
 
We mwenyewe mrefu? Wanaume wafupi wengi ndo wanapagawa sana na wanawake warefu
 
Yani sisi "wafupi" mnatuonea sana.Mi natafuta dada mrefu m2.5 tuanzishe familia,aaarrgh...nimechoka sasa!
 
Matwiga nawapenda sana haswa wawe na mpododo
 
We mwenyewe mrefu? Wanaume wafupi wengi ndo wanapagawa sana na wanawake warefu

Kweli kabisa kama mie na ufupi wangu wa 5.11ft siwezi kabisa kuacha kuwapenda wale wa 6ft and above


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
dwuh tunatofautiana sana mkuu

Ni kweli mkuu tunatofautiana preference,mimi wanawake warefu wananimaliza,nikiwaona hata mapigo ya moyo hubadilika.

Mimi ni mrefu,napenda wanawake warefu,sio lazima alingane name ila akilingana name pia ni poa.

Awe mrefu alafu asiwe mnene.kwa ujumla napenda tall ladies.
 
Ange Kagame (next to Michelle Obama)

1024px-President_Barack_Obama_and_First_Lady_Michelle_Obama_greet_His_Excellency_Paul_Kagame%2C_President_of_the_Republic_of_Rwanda%2C_and_his_daughter.jpg

Uyu mtoto ni mkali dunia.
 
Ni kweli mkuu tunatofautiana preference,mimi wanawake warefu wananimaliza,nikiwaona hata mapigo ya moyo hubadilika.

Mimi ni mrefu,napenda wanawake warefu,sio lazima alingane name ila akilingana name pia ni poa.

Awe mrefu alafu asiwe mnene.kwa ujumla napenda tall ladies.

basi ukiwa nae unabidi uwe mpole maana ukimzingua hakawii kukutia kwenzi za kichwa au roba kabisa.... tall ni nomaaa
 
mrefu mlinganw nae aio akuzidi hadi wewe sasa hiyo iyakua kelo.... mambo ya kupanda kwnye vistuli sio, wengine utakuta tolu af bado anaongeza na high-hillz utadhan anataka kudaka ndege

Urefu mzuri babu eeh ukitumia na high heels raha sana bwana
 
mchango wa kuwatembelea wagonjwa umeshatoa?[/QUOTE miss neddy mbona kama nimepitwa hiyo... mnatembelea wagonjwa wapi? na ni nani mkusanya fedha? na amount ikoje? sorry for a lot of qns
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom