kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Je ni kosa la jinai kutokuwa mwaminifu kwa mke wako/mume wako?
Je ni dhambi kutokuwa mwaminifu kwa mchumba wako, mpenzi wako?
Kumsaliti mume wako/mke wako/mchumba wako & mpenzi wako siyo vizuri. Ukifanya hivyo inamaanisha wewe ni mpumbafu.
Karibuni sana Team waaminifu tupeane uzoefu.