Kuna nini hapa?
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
kuna mtu anataka umpachike kwenye kampuni yako agange njaa mkuu
napita..
Unakuwa mpumbafu kwa mamlaka ipi??
Je ni kosa la jinai kutokuwa mwaminifu kwa mke wako/mume wako?
Je ni dhambi kutokuwa mwaminifu kwa mchumba wako, mpenzi wako?
mith you tho much!!Ngumu kumeza
kaunga hunipendi aisee! lol!
basi nageuza!![]()
aisee ulinirusha roho weye! loh!Hutaniwi? Usigeuze mwaya, njia ipo ambayo ni Yesu, tena yeye sio NJIA tu bali ni KWELI na UZIMA pia.